Bado sana!πππ Dar ni Mombasa kabisaaa.,πππ eti "mtafika", na latest road network ya Mombasa inawatoa kamasi, Dar ukiondoa BRT hamna cha maana sana isipokua kigamboni bridge.πππjitahidini mutafikaπππππ
View attachment 1437987View attachment 1437988View attachment 1437989View attachment 1437990
Unataka sasa uanze utoto wa kupost vitu tunamiliki mitandaoni??? Si basi tutapost hadi wake na watoto zetuheheh fikia level ya kumiliki kitu kama hii kwanza ukiweza nitafuteπππ
garmin 5x plus saphireπππ
View attachment 1437977View attachment 1437978View attachment 1437979
na mbona ikulu ya nairobi inapigwa picha ππππ unatuletea stori z abunwasi hapaAerial view from the far end ya mama Ngina Drive, sijapaona mahali popote, nadhani kwa sababu ya state house around that area, pale skyscraper zimeinuka kuruka, Kizingo arae., kupiga picha unaweza shikwa.,
siku utamiliki kitu kama hiyo njoo nikuoneshe nyumba nayomiliki mm mbuzi wewe unaona kila mtu humu ndani rika yako ππππUnataka sasa uanze utoto wa kupost vitu tunamiliki mitandaoni??? Si basi tutapost hadi wake na watoto zetu
hio mwanza bwege wewe unafkiri wapi hapo ππππ umechanganya memory tayarBado sana!πππ Dar ni Mombasa kabisaaa.,πππ eti "mtafika", na latest road network ya Mombasa inawatoa kamasi, Dar ukiondoa BRT hamna cha maana sana isipokua kigamboni bridge.πππ
Bado sana!πππ Dar ni Mombasa kabisaaa.,πππ eti "mtafika", na latest road network ya Mombasa inawatoa kamasi, Dar ukiondoa BRT hamna cha maana sana isipokua kigamboni bridge.πππ
jitahidini mutafikaπππππ
View attachment 1437987View attachment 1437988View attachment 1437989View attachment 1437990
hio mwanza bwege wewe unafkiri wapi hapo ππππ umechanganya memory tayar
Inaonekana vile kwasababu ya uhuru wa viombo vya habari, same with South Africa, Nigeria na nchi mingi zenye some level of civility, nyie China na North Korea ni "paradiso"., watu wa kuigwa kwa kila jambo, pia kupigana na Corona hamjambo. Tz mulirogwa zamani sana kabla ya mwarabu(Sultani) kutua bara hindi na kuingia pwani ya East Africa, miaka mingi kabla ya mabeberu.,Wana maisha magumu sn wakenya, nchi yao kila siku mabalaa hayaishi lkn bado wanataka kushindana na nchi yenye baraka zote toka kwa Mungu never[emoji3][emoji3]
tanzania haitawah kuiga kenya kwenye jambo lolote mark my words πππ sisi hatuendeshi nchi ovyo kama hio laana ya kenyatta inavowatesa leo nchi inanuka shida kila kona alaf munakuja fungua makalio yenu hapa, jipangeni upya na tabu mutapata sanan
Inaonekana vile kwasababu ya uhuru wa viombo vya habari, same with South Africa, Nigeria na nchi mingi zenye some level of civility, nyie China na North Korea ni "paradiso"., watu wa kuigwa kwa kila jambo, pia kupigana na Corona hamjambo. Tz mulirogwa zamani sana kabla ya mwarabu(Sultani) kutua bara hindi na kuingia pwani ya East Africa, miaka mingi kabla ya mabeberu.,
Hebu leta picha nyingine ya Ilala π πimekuuma kuona ilala auππππ hutaki hii picha iwe ilalaView attachment 1437981
nijibu hutaki hii picha iwe ilala au?? imekukosea hio picha ama ππππHebu leta picha nyingine ya Ilala π π
Fact remains, ata uandike nini; upinge, usipinge ukweli ni hivyo; Dar=Mombasa na Mombasa=Dar., haitobadilika. Wewe rusha vipicha vya Dar hapa niburudike, Kajitonyama, Ilala, Oyster Bay n.k., kwingine makao ya watu zaidi ya asilimia sabini na paelewa.,hio mwanza bwege wewe unafkiri wapi hapo ππππ umechanganya memory tayar
hio umesema ww so mombasa imekuja kusaidia nairobi yani dar = nai + msa ni sawa πππππ ruksa ije isaidieFact remains, ata uandike nini; upinge, usipinge ukweli ni hivyo; Dar=Mombasa na Mombasa=Dar., haitobadilika. Wewe rusha vipicha vya Dar hapa niburudike, Kajitonyama, Ilala, Oyster Bay n.k., kwingine makao ya watu zaidi ya asilimia sabini na paelewa.,
LDC for lifeππππjitahidini mutafikaπππππ
View attachment 1437987View attachment 1437988View attachment 1437989View attachment 1437990
tafuta suburb za mombasa tuone vichekesho leo hapa πππ failed state forever πππ bado muko na cholera kumbe basi pambaneni bado sanaHii ndio second city?πππππ
LDC for lifeππππ
Huwa wanachanganya mafaili picha zngne ni za Arusha wao hudhani ni Dar, yn hili jiji linawanyima amani kabisa [emoji3][emoji3]hio mwanza bwege wewe unafkiri wapi hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umechanganya memory tayar
Nyie huyo mzungu amekariria 90% walala hoi kutupwa, viombo vyenyu hafifu vya habari ndio wanasema eti ni 70%, mie nachagua kuamini viombo vyenyu vya habari, mzungu si mtu mzuri kama unavyosema.,hio umesema ww so mombasa imekuja kusaidia nairobi yani dar = nai + msa ni sawa πππππ ruksa ije isaidie
pambana na ukweli kwanza ππππ
mzungu sio mtu mzuri View attachment 1438023