Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kabisa, tena mpka usafiri wa kwenda nje ya nchi umesitishwa dunia nzima wewe unatarajia nn

Sent using Jamii Forums mobile app
uhehehehe marekani baadhi ya majimbo yameanza kufungua na china pia tayar nimeskia na italy washaanza kufungua na rwanda pia tayari vp curfew kwenu munayopiga watu ovyo kama watumwa
 
leo wakenya wanampangia kazi magufuli wanampangia mpaka sehemu yakuishi😂😂 sijapata kuona in my life yani nimecheka mpaka basi
 
kwan vifo havikuwepo kabla ya corona au magonjwa hayakuwepo kabla ya corona waty wanachoogopa sasa hvi ni kwamba mtu akifa lazma serekali ikamchukue kwa ajili ya vipimo ndio maana watu wanazika kimya kimya
Kwhyo mtu akifa anapelekwa amana kw ajilibya vipimo sio...
Wacha kutetea ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…