Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna nchi isiokua na janga la corona tunachowahurumia nyinyi muna majanga matatu

1.corona
2.hunger
3. locusts

huu mwaka lazima matokeo yajibu ili tuone uhalisia wa GDP upo wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Janga lingine hili apa mkuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
Na ndiyo nchi inayolisha ukanda kwa ss, nyie pambaneni na maadui wapya kila siku, usipambane na nchi inayopambana na corona pekee, call it a new visitor[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1434865
 
Si unaona vile vyuma vimekaza. Unaguza hii unawacha, kazi ni kutapatapa tu. Typical of bongalalas like you anyway
yani bora ya sisi tunapambana na corona nyinyi muna shuguli tatu za muhimu na zote konki liquid😂😂😂😂😂 alaf kale kawimbo munaimba hapa nye nye nye GDP kwa sasa hatutokasikia tena
 
yani bora ya sisi tunapambana na corona nyinyi muna shuguli tatu za muhimu na zote konki liquid😂😂😂😂😂 alaf kale kawimbo munaimba hapa nye nye nye GDP kwa sasa hatutokasikia tena
If course we have a bigger economy than you. I know it hurts 😂 😂 😂 😂
 
Kama nilivyo andika,
Heri mjinga anaweza jifunza akawa mjanja lakini mipumbavu hata ufanye nini haisaidiki.
Ndo maana mdanganyika kama wewe hawezisaidika wala hawezi kuwa mtanzania hata kwa dawa. Nyinyi ni mibongolala tu
 
Wewe kila siku kizungu ni kizungumkuti kwako. Can you define what a three-level interchange is??
uhehehehe basi muna safari ndefu kama ile ni three level interchange munasafari ndefu sana 😂
 
Back
Top Bottom