Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ile co KQ ileee, kazi hamna uwanja umeota lunyasi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Wale waliokuwa wanalalamika Kwanini hawajatangaza hizi siku mbili tatu haya sasa tangazo lenu hili hapa.
480 cases!!! Na bado mibongolala zinaona danganyika inafanya vizuri kuliko Kenya kuhusu hili janga. Eti Kenya inacpoy Tanzania. What a joke πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Naona wanaharakati wengine wanatumia picha za ebola halafu wanasema ni za Tz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na si ni juzi mlisema there were no Ebola cases in Tanzania. Sasa leo imekuwa tena ni Ebola?? Enyewe Watanzania you never cease to amaze
 
Na hapo wamesema ni kuanzia tarehe 23 hadi jana ila media zao zitaripoti kuwa hivo visa ni vya siku moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
196 divide by 5 days gives you an average of 39 cases per day. Kenya has never reported even 30 cases in a single day. Nchi ya kuigwa jamani inachekesha. He who laughs last laughs best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…