Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huoni mimi naenda nao ki boya boya, usijusumbue na watu ambao hawajielewi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu tuoneshe upo nairobi [emoji3][emoji3] mpumbavu kweli ww, ss hizo picha ndo nn c za kawaida tu, atleast we tried our best hebu tuoneshe na ww[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]
 
Hv unaelewa kinachozungumzwa hapa au unadandia dizeli sgr kwa mbele, hebu tuoneshe upo nairobi, mpuuzi kweli ww[emoji3][emoji3]
 
unajua ww nimesoma comment zako nimeona utumbo mtupu unaandika humu mwenzako anakwambia muoneshe hatua mliopiga kwenye euro truck 2 simulator tuone na majengo ya kenya au maeneo ya hapo kenya bro, ujuaji ni ushamba mkubwa sana
 
Hv unaelewa kinachozungumzwa hapa au unadandia dizeli sgr kwa mbele, hebu tuoneshe upo nairobi, mpuuzi kweli ww[emoji3][emoji3]
naona ni mgeni huyo naona kaja na moto anafkiri hapa nairaland๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ