Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

acheni uongo nyinyi mkiambiwa ukweli hua munatuka kama wajinga ila ingekua forbes imemtaja mkenya mungesujudia forbes acheni unafki kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwambie una maanisha in terms of dollars maana itakuwa anadhani unamaanisha shillings πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ungejua hivyo kutoka kitambo kua chromosomes ndio zinabeba GENETIC CODE hungezua ubishi ungeelewa kwamba Obama ana genetic code za babake kwa 50%.

Sent using Jamii Forums mobile app
We mbuzi nini? We tangu mwanzo si Ndio ulikuwa unakataa hii fact? Baada ya kukuelewesha sasa hivi Ndio unajifanya mjuaji? Aki wakunga mna taabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…