Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inadhihirisha km unawakubali hao jamaa kimya kimya...yani leo umeleta mabilionea zaidi ya mmoja kenya wakati bongo ni mmoja...
Kweli umechanganyikiwa hadi ukasahau uzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
forbes ndio wanaoaminika dunianiπŸ˜‚πŸ˜‚ leo hii munaikataa forbes

so forbes hawakujua kuna billionare kenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€“πŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Inadhihirisha km unawakubali hao jamaa kimya kimya...yani leo umeleta mabilionea zaidi ya mmoja kenya wakati bongo ni mmoja...
Kweli umechanganyikiwa hadi ukasahau uzalendo

Sent using Jamii Forums mobile app
yani ukifungua tu tayar unakutana nae forbes washaeka mambo sawaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
forbes ndio wanaoaminika duniani[emoji23][emoji23] leo hii munaikataa forbes

so forbes hawakujua kuna billionare kenya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
Ume change gear na wakati umeleta mwenywe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn hyo list nimeleta mie, nilifanya kukumbusha kw sababu nimeona umeanza kuchanganyikiwa[emoji382][emoji382]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ume change gear na wakati umeleta mwenywe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwn hyo list nimeleta mie, nilifanya kukumbusha kw sababu nimeona umeanza kuchanganyikiwa[emoji382][emoji382]

Sent using Jamii Forums mobile app
dunia nzima inaiangalia forbes so leo hii unaniambia huijui forbes bro πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sikusema kuwa ni mzungu. He is obviously mixed. Tatizo lako wewe unataka kufanya ethnic background yake ya ukenya kuwa kubwa kuliko nyingine alizonazo ambao ni upuuzi wa kupindukia
Wenzako walisema hapa eti ni mzungu typical πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…