Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bring that fact that I disputed, baada ya kusema ni mzungu nimewaletea chromosomes combination Tena mnageuza gear? Kisebusebu na roho kipapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikusema kuwa ni mzungu. He is obviously mixed. Tatizo lako wewe unataka kufanya ethnic background yake ya ukenya kuwa kubwa kuliko nyingine alizonazo ambao ni upuuzi wa kupindukia
 
Sikusema kuwa ni mzungu. He is obviously mixed. Tatizo lako wewe unataka kufanya ethnic background yake ya ukenya kuwa kubwa kuliko nyingine alizonazo ambao ni upuuzi wa kupindukia
Umeanza ku change gear hewani sasa, mara mamake, sijui kazaliwa wapi sai umeona unalamtwa sasa umehamia kwa familia eti pia ana background ya wazungu..kweli upo desperate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata obama hakuna mahali imeandikwa km yeye ni mjaluo ila ukwel utabaki pale pale km magufuli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
so msukuma na unyaruanda ni wapi na wapi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na sijawa kusikia jina la pombe wala magufuli rwanda 😁😁😁
 
Sio wewe kaandika hayo? Mwanaume na mwanamke wote wanatoa chromosomes sawa na hizo ndio zinaunda vinasaba vya mtoto , na vinasaba ndio vinatoa identity ya mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama anaonesha mavazi anaonesha na kampuni pia? Haya nioneshe hio kampuni ya clearing and forwarding ambayo hua anaitangaza mtandaoni.
ww usinifanye mm mjinga joho sijaanza kumjua jana umenielewa punguza upuuzi yani awe na kampuni joho isijulikane mombasa[emoji23][emoji23][emoji23] mbona mavazi na nyumba yake anaonesha kwa watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona somo limekuingia baada ya kukuelewesha hapo kidogo..

Kuilewa familia ya mzee joho unahitaji akili za ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
kuna sehemu wameandika joho na familia yake ndio wenye kampuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani siku utapata joho ni mwenye kampuni hio mm nafunga account jamii forumπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Home
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Naona somo limekuingia baada ya kukuelewesha hapo kidogo..

Kuilewa familia ya mzee joho unahitaji akili za ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwamba kuna sehemu wameandika ni kampuni ya familia ya joho siku utaipata let me know πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…