Kwn kenya ndio ukiwa na hamsini huli katika maeneo ya watu wa chini..Acha ujinga, maisha mepesi nnayosema hapa ni yale ya uswazi ukiwa na buku unakula jero unakula hata 300 unakula, huko obey huwez ishi kwa pesa hzo.
Nashangaa mm, yale maeneo uliyomtajia haja gusa hata moja...anarukaruka tuYale maeneo ambayo nimeataja yamekutia kiwewe hadi umeruka hadi goba? Leta hata makaazi ya chanika maana pia ni mbali kutoka CBD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wape dozi bro[emoji1787][emoji1787][emoji1787]We umeona nikitaja hata ubungo? Ubungo pia ni hovyo tu hamna Cha maana pale kitu ambacho kitapea ubungo hadhi ni Ile stendi na barabara ambayo inajengwa lakini upande wa makaazi ni hovyo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unamlazimisha mtu aseme ukwel unaoendana na mawazo yako..Ww unayeishi huku Tz hebu waambie ukweli wenzio utofauti wa huku na huko kwao acha kuendekeza uzalendo, mana ww na kazi yako ya ualimu japo unapewa mshahara kiduchu ila bado una survive na unabaki na visenti vya kutuma ushagoo.
Rudi kwenu Corona inakusubiri, vitanda hospitali hakuna na mtakufa kama ngedere wale velvet monkeys[emoji1787][emoji1787]
Moh dewiji kalala katila tumbo la msukuma[emoji848][emoji848][emoji848]Obama ni Muzungu, Mama yake ni blond white woman kutoka Arkansas, USA, Obama amelala kwenye tumbo la Mwanamke Muzungu, hivyo acheni kujidanganya kwamba he is the son of soil, which soil? Arkansas, Ireland au wapi?
Duh!!kweli ccm janga la taifaRudi kwenu Corona inakusubiri, vitanda hospitali hakuna na mtakufa kama ngedere wale velvet monkeys[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna lolote we ticha tu hapa bongo, utalii ufanye ww hebu tupia picha tuone uko mbugani ama sehemu yyte ya utalii [emoji3][emoji3]Siwezi haribu muda wangu kuishi Tanzania, Mimi hua nakuja kuinua uchumi wenu kwa kuchangia katika mfuko wa taifa kupitia utalii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila si kumzushia hivyo rich players (esp.politicians) huwa wanapenda wingmen who r big names! A reason u see he likes to hang out with likes of Ali Kiba and Ommy Dimpoz!Ila mkuu kwa ommy Dimpoz hata mm nna wasi wasi naye, ana tabia za ajabu ajabu sana yule
Obama ni Muzungu, Mama yake ni blond white woman kutoka Arkansas, USA, Obama amelala kwenye tumbo la Mwanamke Muzungu, hivyo acheni kujidanganya kwamba he is the son of soil, which soil? Arkansas, Ireland au wapi?
So in short bado inaendeshwa kwa hasara?atcl imeanzishwa juzi usitegemee profit within a short period of time hasa kwenye big investment kama hio 😂😂 muki kwenye game miaka 50 eti bado munamiliki ndege tatu alaf leo munatafuta mchawi wa loss
Ulipoulizwa kuhusu faida ya Atcl ulisema nini? Didn't you mention turnover?alieaema turn over ni profit nani mbona hunitag mm 😂😂😂
Achana na hawa vilaza wajitekenye wenyewe. Mbona unasumbuana nao? Eti Obama ni mzungu! Tangu lini??Wivu ni kitu mbaya sanaAliefanya akalala katika tumbo la mwanamke mzungu ni shahawa kutoka katika makende ya mtu mweusi,Tena kwa taarifa yako Hakuna siku Obama alijiita mzungu siku zote amejitambulisha Kama African American.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona mtu anaishi Chanika,ujue ni nyumba yake...mtu aende kupanga Chanika🤣🤣🤣 huyo atakuwa chiziYale maeneo ambayo nimeataja yamekutia kiwewe hadi umeruka hadi goba? Leta hata makaazi ya chanika maana pia ni mbali kutoka CBD.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv jamaa aliwasaidia nn directly kama mkenya mwenzenu?I mean him.True son of the soil.View attachment 1432143View attachment 1432144View attachment 1432145
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kwenu Corona inakusubiri, vitanda hospitali hakuna na mtakufa kama ngedere wale velvet monkeys[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kwenu Corona inakusubiri, vitanda hospitali hakuna na mtakufa kama ngedere wale velvet monkeys[emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenda zako huko huna lolote maskini tu wewe. Few dollar makalio yako, nenda quarantine husitulee Corona hapa. Palms of your hands my foot!I still have some few dollars to keep me here, and for your information am not in Tanzania, but I know it the way I know the palms of my hands
Sent using Jamii Forums mobile app