The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Huyu hasa hasa kinachomsumbua ni wivu ila roho mby anayo yule mwingine anayejiita teargrass mjinga sana yule.ndio maana nikauliza imefufuliwa lini ATCL [emoji23][emoji23] alipopost mwenzako ile upuuzi ukshabikia ww unawivu na roho mbaya trust me
mzee wa kuhesabu floors nilimbananisha kwenye GTC hana hamu hakuonekana tena baada ya kugundua ukweli😂😂Huyu hasa hasa kinachomsumbua ni wivu ila roho mby anayo yule mwingine anayejiita teargrass mjinga sana yule.
[emoji3][emoji3][emoji3]mzee wa kuhesabu floors nilimbananisha kwenye GTC hana hamu hakuonekana tena baada ya kugundua ukweli[emoji23][emoji23]
Hii kitu ni hatari mkuu iko pande gn hiidream houseView attachment 1431930
oyesterbayHii kitu ni hatari mkuu iko pande gn hii
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]atcl imeanzishwa juzi usitegemee profit within a short period of time hasa kwenye big investment kama hio [emoji23][emoji23] muki kwenye game miaka 50 eti bado munamiliki ndege tatu alaf leo munatafuta mchawi wa loss
Tz bhn hatari sanaoyesterbay
Diamond pledges to pay three months rent for 500 Tanzanian households
Tatizo watu wamekuwa brainwashed sana,wamajiona na wao ni wazungu...MUNGU ametubariki kwa hili,dada yangu pia alikuwa na dalili zote za covid amepona kwa tangawizi,limau kwa wingi na maji ya moto yenye mchanganyiko wa tangawizi na mdalasiniNimeitoa kwa jamaa fulani sio mby ku share nanyi [emoji116][emoji116][emoji116]
Wapendwa hbr za mida hii . J3 usiku nilipata taarifa kuwa binamu yangu yuko hospitali na ana dalili zote za corona na hali ilikuwa mbaya sana, anakohoa kichizi, mafua, hawezi kupumua, homa kali na kichwa kuuma. Wamem isolate. Hakupewa dawa zaidi ya diclofenac.
Mie usiku huo maombi kwa kwenda mbele. Kesho yake sikuwa na jinsi zaidi ya kumhudumia, nikiwa na hofu kubwa, maana hakuna ndugu yeyote wa karibu zaidi yangu.
Asb J4 nikapeleka chai na nikakumbuka piriton. Vipimo vilichukuliwa. Mchana akaniambia akikohoa anatema mabonge ya makohozi yenye damu. Akawa na hofu sana. Nikaishiwa pia nguvu.
Nikampigia rafiki yangu mmoja ni Dr. na ni muhaya pia. Akaniambia *"Acha ujinga. Nyanyuka chemsha hayo madawa ya kufukiza. Kuwa aggresive. Kwa hali hiyo unampoteza sasa hivi"*.
Nikapata nguvu na kumpelekea mchanganyiko huo, pia Arithromicin, citrizen na vicks. Nikaona maji ninayopeleka yanakuwa yamepoa. Nikanunua kettle nikaliingiza.
*Nikawa napeleka tanzawizi, muharobaini, karafuu, mpera, muembe, na mchaichai. Alipoanza kujifukiza, huwezi amini ndani ya 2 hrs, mafua yalikata, alikuwa anapumulia mdomoni ikaisha, homa ikakata, akanipigia akiwa na furaha sana, tumaini likarudi. Kufikia jioni mzima wa afya.*
Ananiambia "siumwi popote, labda haikuwa corona, ni mafua kawaida" nikamwambia endelea maana majibu bado, huwezi jua.
Wapendwa majibu yalitoka Alhamis usiku kuwa ni covid 19 positive na usiku huo alihamishiwa kambi ya corona, lakini akiwa amepona kabisa. Kule alikuta wenzie bado wanapata tabu, wengine hoi, kupumua shida n.k. Akalia sana akaniambia *"sasa huku naambukizwa na ndo nakufa"* Nikampa moyo.
So, nilimpelekea huo mchanganyiko, ijumaa alikesha anawafukiza wenzie. Huwezi amini, Jana J1, hakuna mwenye shida tena. Ananiambia wote wameamka tunapiga story tu ni vicheko kwenda mbele. Tumepewa kamba tunaruka mazoezi.
So, Kufukiza ni real solution ya corona wapendwa. Muombe Mungu akupe courage ya kuifanya kama ulikuwa huamini. Naamini ni ufunuo ambao Mungu alimpa kiongozi wa nchi ili tupone.
Nimeshuhudia kwa macho yangu. Hivi sasa niko home nami nimeji isolate kwa mfukizo wa maana. MUNGu IBARIKI TZ.
Naomba usiipuuze hii
Mkuu mm mwenyewe wkt huu ugonjwa unaanza kushika kasi hapa Tanzania nilipata mafua makali mno na kifua, ucku mwili unachemka sn, wala ckujisumbua nkawa natumia kitunguu saumu, tangawizi, asali na habbat soda, hapo nkawa nshamaliza tatizo ndani ya wiki mbili tu.Tatizo watu wamekuwa brainwashed sana,wamajiona na wao ni wazungu...MUNGU ametubariki kwa hili,dada yangu pia alikuwa na dalili zote za covid amepona kwa tangawizi,limau kwa wingi na maji ya moto yenye mchanganyiko wa tangawizi na mdalasini
Mbn unafananisha jua na mwezi? Ushaanza kutoa boko as usual [emoji3][emoji3]
Wiki hii naona asilimia kubwa Tz tumepost vitu vipya tu ambavyo havijawahi kuwekwa humu,Tz bhn hatari sana
mbona hajalipa? Huyu Willy Paul ambaye analamba miguu ya WCB kila siku? Monthly Rent Tanzania is at least $50 that is a one room house!
Tuliwaambia cc kwmb Dar kuna maeneo mengi hayajawekwa humu wakabisha, ss watu wameshaanza kutupia picha mpya kabisa wanaanza kutoa toa macho humu[emoji3][emoji3]Wiki hii naona asilimia kubwa Tz tumepost vitu vipya tu ambavyo havijawahi kuwekwa humu,
Huku wengine wakirudia rudia vitu vile mwaka mzima [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu wakiambiwa Dar ni kubwa wananuna.
Wanachofanya sasa hivi ni kujaribu kuharibu huu uzi ila hawatofanikiwa 😂😂😂Tuliwaambia cc kwmb Dar kuna maeneo mengi hayajawekwa humu wakabisha, ss watu wameshaanza kutupia picha mpya kabisa wanaanza kutoa toa macho humu[emoji3][emoji3]