Tuletee na data kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio tu kuwekeza kwenye ruti za ndani bali pia Tz iko vzr kwny local market, watu wanapanda sn ndege humu, kenya wanategemea ruti za nje cz za ndani hamna soko[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] umepanic budaaBwahahaaa!!yani unaajiri tu na wakati tangu atcl iumbwe haijawai ingiza faida
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah charter airlines Tanzania zipo nyingi mno kutokana na vivutio vyetu kuwa scattered remotely kwenye maeneo mengi,yap unajua hata hizi charter airlines Tanzania the industry is big n has to do with how remote r our tour circuits!
Heheheheheeee naona umefunga domo lako ss, maamaaeee[emoji3][emoji3]Truth hurts always
MNH kwa ss wana run the region, soon tutaona flow ya wagonjwa from different continents seeking for a health amenities.
Na kati ya hao 193,300 kuna wengine ni wachina, so wakenya wanaonufaika na hiyo ajira ni wachache zaidi ya hapo.Pigo lingine hili apa, wamekimbia wote wameenda kutafuta source, wakenya nyie bado sn Tz ni silent killer[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1431129
Hawa hapa mkuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3] smh...Na kati ya hao 193,300 kuna wengine ni wachina, so wakenya wanaonufaika na hiyo ajira ni wachache zaidi ya hapo.
Na hapo tukija kwenye railways utagundua hela ya mkenya inaliwa na mkoloni
Buda, hao wanaolipwa mishahara wanalipa kodi, pension zao zinazungushwa kwenye biashara zingine na bado wanasafiri na kufanya manunuzi mengine ndio maana tz inaweza kusurvive hata kwa biashara ya ndani ukilinganisha na nyie. Pia sgr ya umeme ni mojawapo ya hatua zinazofanywa kuhakikisha tunajinufaisha kwanza kuliko kununua weseTuanze na hapa kw pato la taifa, aviation industry inawaingizia shillingi ngapi km taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 Na wakitaka mambo yaende vibaya, kata mishahara yao uone watakavyokuja juu. Utamretrench mkenya ila sio mchinaHawa hapa mkuu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3] smh...View attachment 1431218
Hana concept hata moja ya uchumi muhurumie tuBuda, hao wanaolipwa mishahara wanalipa kodi, pension zao zinazungushwa kwenye biashara zingine na bado wanasafiri na kufanya manunuzi mengine ndio maana tz inaweza kusurvive hata kwa biashara ya ndani ukilinganisha na nyie. Pia sgr ya umeme ni mojawapo ya hatua zinazofanywa kuhakikisha tunajinufaisha kwanza kuliko kununua wese
Bado hujajibu swali jomba, narudia tena!!aviation industry tanzania inaingiza shillingi ngapi??????Buda, hao wanaolipwa mishahara wanalipa kodi, pension zao zinazungushwa kwenye biashara zingine na bado wanasafiri na kufanya manunuzi mengine ndio maana tz inaweza kusurvive hata kwa biashara ya ndani ukilinganisha na nyie. Pia sgr ya umeme ni mojawapo ya hatua zinazofanywa kuhakikisha tunajinufaisha kwanza kuliko kununua wese
Hahahaa!!kwhyo wafanyikazi wa hyo sekta kodi zao ndio huunganishwa halafu ndio mnapata total ya hzo kodi mmepata kutoka kw aviation industry sioHana concept hata moja ya uchumi muhurumie tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wagonjwa from different continents.
Buda usijifanye hujaelewa. ingawa kama naona uko kwenye upande fulani hivi kuwa "ajiri watu wachache, airlines zipate faida kubwa na serikali ipate gawio la kutosha"Hahahaa!!kwhyo wafanyikazi wa hyo sekta kodi zao ndio huunganishwa halafu ndio mnapata total ya hzo kodi mmepata kutoka kw aviation industry sio
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Nairobi yenu tu ilivyo mwituni (city in the jungle) aka Nai-pori.
***** angalia hio video vzr😂😂👇👇 joho ni kama mbuzi hapo