Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ww huwa hawakujibu wanakuogopa sn cjui kwnn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ss cjui tunashindania nn hapa, mana lengo co kuwa na mandege yasiyo na faida km kq lengo ni impact ya ROI ionekane kwny uchumi.
Yaani Kenya pamoja na kuwa na ndege 3 na lundo la mikodisho inayolitafuna shirika pamoja na kodi ya mvuja jasho wa babandogo bado hawana impacts yoyote kwenye kutoa ajira nchini mwao

Yaani sisi tunanufaika zaidi na usafiri wa anga pamoja na kua na ndege chache kuliko Kenya, tupo level moja na Ethiopia almost.
 
IATA inaonesha hata SA haitufiki ss hawa wapuuzi humu cjui wanaongea nn, eti wanashindania kwenda nje bila mafanikio yoyote, cc tunapiga route za ndani na bado impact yake kubwa, wao wanaenda nje lkn mavi ya kunguru, kuna mjinga hapo juu nimemuuliza km kwenda nje ni muhimu mbn hamna faida yoyote mnayopata? Anaanza kunijibu utumbo yn kashindwa kuielewa hata cmpo English [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Atcl inaingiza shillingi ngapi katika serikali yenu[emoji1787][emoji1787]
Manake si lazima zilipe kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuingiza sh ngp kwa serikali co tatizo as far as the revival of the corporation is concerned, but the issue here is [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ukireverse hizi data positively anticlockwise utaona ikitoka Ethiopia, Tanzania ndio inanufaika zaidi kwenye sector ya aviation in terms of employment and its peripherals.
yap unajua hata hizi charter airlines Tanzania the industry is big n has to do with how remote r our tour circuits!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…