Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hakuna nchi duniani ina policy ya ardhi ya kibinafsi na yakikatili kama kenya ndio maana mtu mmoja kenyatta anashikilia robo ya kenya hapo bado raila bado wale politicians na wafanyabiashara wakubwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sijui wale kajamba nani watamiliki nini
 
We mbona 1.6 mln tonnes per year ni kiasi kidogo sana? Ninavyojua Tanzania ina-produce over 10 mln tonnes per year!
nimempa statistics ya zamani kidogo afahamu kwann mtu kujenga na kumiliki ardhi tanzania ni rahisi sana
 
na unajua kwann nimesema sand cement na aggregates ni rahisi sana tanzania kwasababu tanzania ndio inaongoza kwa production ya cement in east africa[emoji23][emoji23][emoji116]

View attachment 1429202
Tunaongelea idadi ya nyumba dar hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti umesemaje vile??
Dar watu 5m wanamiliki nyumba[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaongelea idadi ya nyumba dar hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti umesemaje vile??
Dar watu 5m wanamiliki nyumba[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
nakupa na chanzo cha kwann ujenzi ni wakutosha dar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kama huna ndoto ya kumiliki ardhi usihuzunike vumiliaπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰

watu tuna ardhi na tumejenga vile vile
 
Wazungu wana dharau sana eti wanasemema "TUNATAKA CHANJO YETU YA COVID-19 IFANYIWE MAJARIBIO NCHINI KENYA"

Yaani wanataka,sio kuomba WANATAKA!!!! ni lazima TUNATAKA...
 
Lazima wakohoe mwaka huu, wkt tukiendelea kupambana na covid-19 dozi zinaendelea tu, tuliwaambia kuna mambo mengi ya kushangaza ya Tz ila bado hayajawekwa humu wakabisha, nadhani saivi wataanza kuelewa kwnn mzungu kasema Dar iko mbele ya Nairobi kwa value za estates? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…