Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

All under the GREEN CITY IN THE SUN,
From left.UAP tower,KCB tower,Britam tower,Rahimtulla trust building,Times tower,Cooperative Bank House,Prism tower,KICC



source
Hilo jengo la britam ni vyema likaitwa britam antenna ,kinacho shangaza kwa Nairobi kwa nn majengo yote nusu ni antenna
 
Wakenya wanapenda sana kujisifu mbele za watu. Ukitaka kugombana na mkenya mwambie unakuja nyumbani uone moto wake. Choo cha kulipia utadhani uko stendi unasafiri. Wangepambana kwanza na alshabaab na kipundupindu ningewaona wa maana.
na njaa huku umaskini ukiwaua taratibu
 
Na tuliwaambia kwa kuwaonea huruma na kinairobi chenu kidogo leteni nchi nzima ya Kenya ipambane na DSM usikie sana sijui metro sijui nn ww leta nchi nzima ya kenya
 
Na tuliwaambia kwa kuwaonea huruma na kinairobi chenu kidogo leteni nchi nzima ya Kenya ipambane na DSM usikie sana sijui metro sijui nn ww leta nchi nzima ya kenya
maana dar 1590.5 km sq imekusanya nairobi 696 km mombasa 300km sq kisumu 200km sq eldoret 50km sq na waongeze zingine pia bado
 
so what is your issue here??kwa sasa tunaweka bolti supertall pale upperhill tulia sindano ikuingie sawasawa
unafkiri under construction zilizo bongo unafkiri mchezo do u think watu wamelalaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…