Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

NAJUA airport yenu ni ya tupwa tupwa hamna vya kwenu hapa...na je huko dar kuna multinational corporations HQ there?
unajua wewe au google ndio imekueleza ongea ueleweke sasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ usiwe muoga
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ utaumia kichwa bure
Mna mengi ya kufanya ndio muweze kuufikia ulingo wa Nairobi....haya nenda kaufagie mji then uanze kupiga vipicha izo tower mbili...Meanwhile we are bolting supertalls in Upper hill.Tunafunga vyuma kwelikweli hapa...
 
nairaland kwenye ukabila munatukanana wenyewe kwa wenyewe itakuaje sisi....akili kichwani mwakoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
na ukikua utaacha
Nairaland ni ya waNigeria. na wao wenyewe ndio walioanzisha nyuzi za Nairobi na Kenya. Hakuna ukabila ikiwa unawakilisha sehemu utokako hata kama ni darisslum
 
Wakenya wanapenda sana kujisifu mbele za watu. Ukitaka kugombana na mkenya mwambie unakuja nyumbani uone moto wake. Choo cha kulipia utadhani uko stendi unasafiri. Wangepambana kwanza na alshabaab na kipundupindu ningewaona wa maana.
 
kampuni ya uae ishakua ya kenya??????? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ za nairobi za minara ndio zina architecture nzuri
K&M Archplans is a Nairobi based, Kenyan Company.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…