Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mt Kenya as seen from Longido
2371317_tapatalk_1586956068766.jpeg


#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
 
Wadar es salaam buana! Wanasifia tu lakin dar hamna kitu, ni pa kipuuzi sana. Sisi wenyewe MaVIP wa Mwanza huwa tunafanya yetu hapahapa Rocky city, tukitaka kwenda sehemu ya kibabe zaidi tunasepa zetu nairobera. Dar pa hovyo sana ukilinganisha na nairobi acheni ligi zisizo na msingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya acheni kujisumbua, kwenye hii sekta ya utalii hatupaswi hata kujisumbua ku battle na nyie cz tupo kwenye ulimwengu wa pekee etu ktk dunia hii kuhusu vivutio vya utalii duniani.
Kenya always so diversified when it comes to tourism,,lia kabisa
 
Back
Top Bottom