Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi sikusema lakes ziko around mt Kenya,namanisha kule juu ya mlima,then about river galana,the source is from Athi plains in kajiado county not Kilimanjaro,, alright??

One of its 2 tributaries (Tsavo River) comes from Mt Kilimanjaro even Lake Amboseli (underground stream)!



How about Lake Chala?


Rongai route has this
 
BTW kachangia nn kuhusu ugonjwa wa Coronavirus kaamua kukaa kimya?
 
Na Malaysia mbegu walichukua kigoma
 
Mara nyingi Bakhressa huwa haongei anaposaidia
ukitaka kuujua utajiri au uzuri wa bakhresa kwenye kusaidia jamii jaribu kuongea na wafanyakazi wake na wa METL utaona a big difference mpka kwenye maslahi yao na mazingira bora ya ufanyaji kazi, dewji ni show off nyingi tu hakuna chochote zaidi ya kuwanyonya mno wafanyakazi wake, hakuna bidhaa yke hata moja yenye quality hata kdgo (Ana kesi kibao FCC za kuchapishia bidhaa za watu) , na nina diriki kusema hawezi kumfikia hata siku moja kwa utajiri bakhresa.
 
wacha upuuzi Bakhresa ni kampuni na ukiingia twitter site yao CSR zinakuwa posted! Kiufupi hawana PR nzuri! If u need to hear that brutal truth!

mzee bakhresa misaada yake anayoitoa ni. mingi hana shida ya kujitangazia kampuni yke ionekane imetoa misaada, bidhaa zake zinajiuza zenyewe
 
wacha upuuzi Bakhresa ni kampuni na ukiingia twitter site yao CSR zinakuwa posted! Kiufupi hawana PR nzuri! If u need to hear that brutal truth!

Punguza hasira mkuu nimesema mara nyingi na sio mara zote huwa hasemi km unabisha we bisha ila huo ndiyo ukweli huwezi kumfananisha Bakhressa na matajiri wengine hapa Tz mfano mzuri ni hili suala la covid-19, je unaamini kwamba Bakhressa hajasaidia? Au ndiyo mpk usikie akijitaja mitandaoni, bac km ni hivyo utasubiri sana mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…