Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hilo ni kosa la serikali kuachia ujenzi wa makazi holela, kama imeshindwa kuwaondoa lazima iwalinde kwa kujenga kingo, πŸ™Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hilo ni kosa la serikali kuachia ujenzi wa makazi holela, kama imeshindwa kuwaondoa lazima iwalinde kwa kujenga kingo, πŸ™Œ
si mbele ya serikali ya Jiwe! Ukileta ujenzi unaoleta uharibifu kwa miundombinu anayojenga lazma a-deal nawe!
 
Iringa ni uswazi tupu hadi huwezi tofautisha CBD na slums za makazi,Arusha at least iko na Cbd but thika inaichapa
Ebu pekua huko nyuma kwenye huu Uzi huo mjadala tulimaliza na Thika yako haikufua dafu mbele ya iringa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kufikia 2025 Nairobi itajiuliza sana juu ya Dar es Salaam,Project zote hizi ziko kwny pipeline.New Salender Bridge na barabara zake,Ubungo interchange, barabara ya bamaga-shekilango,Mwenge-Morocco project, stendi ya Mbezi Luis,barabara 8 ubungo-mbezi-kibaha,SGR project,DMPD project,Mzimbazi basin project,Expansion ya Bandari, BRT phase 2 mpk 5 na overpass zake(interchange),Mfaransa ameshaanza kuonyesha interest BRT phase 5 ametuma na team kbs kwa ajili ya kutathimini.Kazi ipo my take,Wakenya wanawekwa kwny hali ya matumaini na wanasiasa wao wanachezewa kama watoto,na wao huwa wanafurahiii ,Project ngapi hapa amekuja nazo mpk uzinduzi umefanyika mwisho wa siku ni mchezo wa siasa.Yaani mimi ningekuwa mkenya ningesubiri kitu kikamilike ndo nichekelee.Usanii umezidi.Wallah.
DART | News
 
Kule Kunyaland second single track is to be released by Handshake n goes by the name Uhuru tano tena!

#Akilizahandshake#

CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 Edward Wanjala kikihboy
 
manina CBD alone ina density kubwa kuliko CBD genu changanya na upperhill

huyu hamuwezi azam 😁😁😁
Naona unaumia, what's density to you, population? Wacha kuchanganyikiwa hamtoshi brathe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…