International airports nyingi zina train,buses na taxis bado zipo. Brt lazima iingie airport tena special nonstop service airport to city centre and back to the airport.naona isiingie ndan ya airport.. biashara ya tax itakufa sasa.. ipite nje ya airport tu
Brt ya Mbagala inapita hapo.
si ndo maana juzi nikashauri anunue ndege moja B777X cargo kusafirisha mzigo kila siku!kumbe soko lipo, tununue na ATCL cargo yetu
Mkuu hatuwezi kupoteza mabilioni ya pesa kwa ajili ya faida ya wachache, wacha iingie ndani brt itapga pesa lkn hata tax nazo zitapiga pesa, km terminals zitaongeza ufanisi, mamlaka zitaongeza ufanisi, pamoja na wizara mfano wizara ya utalii, I hope arrivals itakuwa ya kutosha so kila mtu atapata anachostahili cz kuna wageni wengine wana prefer private car to community buses, hyo pia itaongeza thamani ya uwanja wetu na nchi kwa ujumla.naona isiingie ndan ya airport.. biashara ya tax itakufa sasa.. ipite nje ya airport tu
Great ideaIlikuwa haiingii akilini kabisa airport kukosa BRT yn watu wanatoka ma kms kibaoo from abroad zen amechoka anataka kwenda Johari rotana anakutana na bonge la joka apo Vingunguti, ss itakuwa poa tena nashauri kuwe na buses kwa ajili ya airport tu na ziwe na nauli ya juu kdg ili kubana raia wa kawaida wasisumbue arrivals
Zikikamilika zote hizi nadhani serikali ihimize level seat custom cz waafrika cc huwa hatutoshi, pamoja na kuwa na BRT pamoja na train juu lkn bado watu watagombea kuingia km kawa, nashauri kuwe na utaratibu wa lazima wa kupanga foleni, na watumie modality ya first in first out hapo itakuwa poa sana.Phase 6 ndo zilikuwa planned initially
Phase 1 Kimara - CBD and Gerezani.. Completed
Phase 2 -Mbagala to CBD and Gerezani U/C
Phase 3- Gombz to CBD and Gerezani loan from WB agreed ..
Phase 4 Tegeta to CBD and Gerezani WB agreed to give us loan
Phase 5- ina roads nying including Nelson Mandela, Sinza , Kati kati humo Mwananyamla , Buguruni it is the longest BRT route bado haijapata funds
Phase 6.. Kawe and Mikocheni to CBD
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi zote hizi mchina lazima azioe[emoji1][emoji1]
Nilivyoona tu hii nikacheka sn cz ni jibu lake huyo mmombasakuna mpuuzi mmoja aliuliza kwan china anawadai shs ngap nasio mwengine ni huyu kiazi[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
komora096
old town haitasahau kipigo cha 2020😂😂Nilivyoona tu hii nikacheka sn cz ni jibu lake huyo mmombasa
Yah ni kweli kabisa au anaweza ata akai forgone dreamliner moja ikabeba mizigo by the time ana accumulate funds to buy cargo planesi ndo maana juzi nikashauri anunue ndege moja B777X cargo kusafirisha mzigo kila siku!
aombe permit!Yah ni kweli kabisa au anaweza ata akai forgone dreamliner moja ikabeba mizigo by the time ana accumulate funds to buy cargo plane
wacha fikra hizo bro. biashara ushindani na ya Taxi ingakuwa ishakufa siku nyingi tangu Uber iingie! huwezi kukataza BRT au commuter train isifike airport! Nani amekuambia kila msafiri wa ndege yuko tayari kulipia taxi? Kwanza sipendi tabia ya taxi za Tanzania kutokuwa na meter inakera!naona isiingie ndan ya airport.. biashara ya tax itakufa sasa.. ipite nje ya airport tu
Naona dar watu wote wamejengaKweli mtu uko proud kuishi kwa appartments!!!
Aisee
[emoji1][emoji1]