The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,849
Wanaposema Tz ipo mbele ya kenya kwa mambo mengi muwe mnaelewa.Mbezi Africana: Sea breeze more than 20 KM from CBD
View attachment 1418169
View attachment 1418170
View attachment 1418171
View attachment 1418172
Dar es Salaam, Tanzania
EIST TECHNOLOGY - TANZANIA
Tatizo hamtaki kukubali km kuna nyumba zingine watu hu ungaunga tuMkuu usimung'unye maneno kisa hilo ghorofa lipo Kenya, ni kwamba hilo ni kaburi mzee tuwe wakweli katika hili.
Najua unakwepa, dar sector hyo hamuezani, hku appartments investor hujenga kadhaa kw majinaNani kaleta gated community???!!!...unazijua gated community wewe,unafikiri ndo hizo hostel zenu..
One of the best documentary films about my lovely country 🇹🇿🇹🇿❤️❤️🇹🇿🇹🇿Dar es Salaam, Tanzania
EIST TECHNOLOGY - TANZANIA
Kweli mtu uko proud kuishi kwa appartments!!!Najua unakwepa, dar sector hyo hamuezani, hku appartments investor hujenga kadhaa kw majina
Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ya Dar ni picha tuu, ukiwaambia these guys kuwa hivyo walivyokua navyo ( ma apartments yaan ) huku yapo mengi tuu, wanabishaMbezi Africana: Sea breeze more than 20 KM from CBD
View attachment 1418169
View attachment 1418170
View attachment 1418171
View attachment 1418172
I can’t imagine sgr station iko complete na our blue buses zika zinapita hapo mbele kila wakati.....it’s gonna be spectacular!
Ingefaa leo tuanzie hapa mana jana walikasirika kdg wanipige, ss leo nmerud tena kuwakera nikisema, #tuanziehapa# [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Issue ya Dar ni picha tuu, ukiwaambia these guys kuwa hivyo walivyokua navyo ( ma apartments yaan ) huku yapo mengi tuu, wanabisha
wao wanakazana zile coated roofs, Kijitonyama na CBD.... wanadhani kilometer squares 1500 ni kitoto!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndiyo ile ya Mbagala co
We are on fireeee.....
No, hii ni Gongo la mbotoHii ndiyo ile ya Mbagala co
Aisee so hii ndio itapita mpk airportNo, hii ni Gongo la mboto
Yeah..itakua poa sana .plus inabidi kuwe na station ya BRT hapoI can’t imagine sgr station iko complete na our blue buses zika zinapita hapo mbele kila wakati.....it’s gonna be spectacular!