Karibu. Huu uzi uliufungua na utaufunga mwenyewe, lau ufike kurasa millioni mojaHave been busy kidogo. Kazi za kujenga taifa la Tanzania.
hata ufike milion 2 lakini ukweli utabaki kua nairobi ni mji mdogo sana kwa dar😀😀😀😀Karibu. Huu uzi uliufungua na utaufunga mwenyewe, lau ufike kurasa millioni moja
Tunajua hilo vizuri sana, hata Tanzania ni kubwa kwa Kenya tena kwa mbalihata ufike milion 2 lakini ukweli utabaki kua nairobi ni mji mdogo sana kwa dar😀😀😀😀
kama unajua ndio hvo sasa 1590.5 km sq vs 696 km sqTunajua hilo vizuri sana, hata Tanzania ni kubwa kwa Kenya tena kwa mbali
kama wanavosema watu wa nasa kua mambo yabadilika😀😀😀Haiya umefikishwa hii level???
Huyu anakuja kwa issue ya coca studio ambayo sio specific kwa Kenya pekee! Na hapo hafanyi show yoyote huko kenya kwa kipindi cha uwepo wake!
Safi sana ndugu yangu:-Huyu anakuja kwa issue ya coca studio ambayo sio specific kwa Kenya pekee! Na hapo hafanyi show yoyote huko kenya kwa kipindi cha uwepo wake!
Hapa bongo future atakuwepo this July, unaweza kuwahi tiket yako mapema
FUTURE to perform in Tanzania and Mozambique in July