Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apartments ni nyingi sana hapa Nairobi,so nikisema nikupost zote maybe inichukue miaka miwili na bado hazitaisha...Sunflower apartmentsView attachment 1417474

Sent using Jamii Forums mobile app
Cages zipo nyingi sababu watu huko ni mafukara hamna pesa ya kununua plot na kujenga Nyumba za maana

Mtanzania humlazi kwenye hizo dormitories, hata ulaya mtu anayeishi kwenye makazi kama hayo huchukuliwa kama bado ni hustler
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…