The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Soon tutaanza kuwapelekea chakula cha msaada na hawa Wakenya wa humu cjui watasema nn walai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wako bzy kuuwana kisa kugombania chakula unacheza na njaa wewe
Kenya kuna ushetani mkubwa ndiyo maana nchi imelaniwaHuyu officer!
Amekosa utu kabisa.Kenya kuna ushetani mkubwa ndiyo maana nchi imelaniwa
Noma sana.officer ni kichaa kweli kweli.....
sema ndiyo asili ya wakenya ipo hivyo tusishangae
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya raia wa kawaida ni sawa na takatakaAmekosa utu kabisa.
Sasa kweli hapo alishindwa kuchukua utaratibu unaofaa!Kenya raia wa kawaida ni sawa na takataka
Ni moja kati ya decent roads naifananisha pia na barabara ya Tanga inayotoka Pongwe kuingia mjini nayo ipo hivyo hivyo.15km kabla hujafika mjini naambiwa wameweka taa izo..pale makole wamevunja nyumba pamekua peupe unauona uwanja wa ndege kama wafahamu Dodoma hapa nadhan kuna mabadiliko makubwa sana...
Here are some few photos
View attachment 1416642View attachment 1416644
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa [emoji117] [emoji205] [emoji205] wajinga watakufa kwa korona sasa hayo ya kupanganyana yakigombea chakula !!!!!
[emoji205][emoji205][emoji205][emoji205]Wakenya msikimbie tafadhali anawasalimia tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1416778View attachment 1416779
Haaa hapo hata enzi za mwalimu asinge Fanya hivyo kipindi cha korona ,sasa hapo hao [emoji205][emoji205] ndiyo wanapambana na korona !!!!!!! Au wana beep covid 19Tukiwaambia failed state wanalia, ss hii c enzi za mwalimu hii[emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa kweli hapo alishindwa kuchukua utaratibu unaofaa!
Hawana utu kabisa.
ndio hvo njaa ni hatari hata kuliko corona yenyeweHawa [emoji117] [emoji205] [emoji205] wajinga watakufa kwa korona sasa hayo ya kupanganyana yakigombea chakula !!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu lipo hapa " nyani [emoji205] ako na IQ ngapi ? ” ukipata jibu utajua kwanini wapo hivyoKenya kuna ushetani mkubwa ndiyo maana nchi imelaniwa
Waambie hao Wakenya tunavyokataa kuishi kwenye viota ni kwasababu tumejenga vijumba vyetu kama hivyo. Kule wanakopaita 'slum' ndio vimejaa hivyoHivi ukanda huu kuna watu creative kama wabongo kweli?
View attachment 1416837View attachment 1416838View attachment 1416839View attachment 1416840View attachment 1416841View attachment 1416843View attachment 1416844View attachment 1416846
Halafu pia wajue ndio maana watanzania huwezi kuwalundika kwenye cages kama broilers na ndio maana miji yetu ni mikubwa na imetanuka sababu kila mtanzania anataka kuishi kwenye eneo lake kubwa lenye fance na garden kubwaWaambie hao Wakenya tunavyokataa kuishi kwenye viota ni kwasababu tumejenga vijumba vyetu kama hivyo. Kule wanakopaita 'slum' ndio vimejaa hivyo
HakunaaHivi ukanda huu kuna watu creative kama wabongo kweli?
View attachment 1416827View attachment 1416828View attachment 1416829View attachment 1416830View attachment 1416831View attachment 1416832View attachment 1416833View attachment 1416834
Hakuna mkuuHivi ukanda huu kuna watu creative kama wabongo kweli?
View attachment 1416837View attachment 1416838View attachment 1416839View attachment 1416840View attachment 1416841View attachment 1416843View attachment 1416844View attachment 1416846