Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Those are old photos kijana wa tandale. The order to have Mombasa buildings painted white and blue ni kitu ilianza two or three years ago and I think it affected only buildings in and around the cbd. Sasa unapoleta picha za five years ago kujifariji unataka uambiweje? Kwanza ulisema only one street is painted blue sasa unatapatapa. What's the name of that street since you were in Mombasa 'juzi'?
 
Naona umekimbilia hotels πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ giants wa hotels east and central africa yupo ukimuhitaji sema tuπŸ˜†πŸ˜†
mkuu kama hutojali naomba ulianzishe πŸŒ‡πŸŒ‡πŸŒƒπŸ―πŸ―
 
Utasikia imegharimu kshs 2bln [emoji3][emoji3][emoji3]
Mnapendana sana ujinga mibongolala. That was an ORDER by the county government of Mombasa. It was not a project of the county government. Building owners were required to do so at their own cost. How then do you know how much each building owner spent in painting their building for you to know it costed 2bln? Mnawashwa sana na masuala ya Kenya
 
[emoji3][emoji3][emoji382][emoji382][emoji382]
 
mabati yameozaπŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
God is good, kumbe umeshatoka kalantini[emoji3][emoji3]
 
Wakenya kumbe wanahofu sn kwa wabongo ckuwa najua aisee
Unajua wakenya wengi walikuwa hawafaihamu Tz zaidi tu ya kuhadisiana vijiweni na kujidanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kupitia huu uzi akili zao zimefunguka na ndio maana walichobakiwa nacho sasa hivi ni kuficha vichwa vyao kwenye mchanga.
 
Unajua wakenya wengi walikuwa hawafaihamu Tz zaidi tu ya kuhadisiana vijiweni na kujidanganya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kupitia huu uzi akili zao zimefunguka na ndio maana walichobakiwa nacho sasa hivi ni kuficha vichwa vyao kwenye mchanga.
πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Akikujibu nitag
Kisha wacha jina tu, akueleze km alipitia akienda wapi..

Juzi tu kasema km mombasa hakuna appartments ni mahoteli tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…