komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Unakwepa...Njia ya suburb hutaipata mpaka yesu ashuke ohhh sisi GDP mamaee mwanza hio imewatandika hamuamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakwepa...Njia ya suburb hutaipata mpaka yesu ashuke ohhh sisi GDP mamaee mwanza hio imewatandika hamuamini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwan ww ni nani 😂😂😂 mpaka nikuoneshe ushahidi utadanganya wengine mm nikiwa sipo humu madamu mm nipo tulia kwanzaBado hujaleta ushahidi km ulikua mombasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbna hukufanya km ulivyofanya kisumu...
We ni muongo bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie hyo moja yako , halafu mi nikupe zingine tufunge gameZilete hapa nasubira kabla sijaenda kulala niletee nasubiria hapa[emoji16][emoji16][emoji16] fanya chap
Nikwepe na sijaona suburb naona unaniletea takataka hapa mara white and blue wapi suburb ukae mizani moja na mwanza 😂😂
😂😂😂😂 umesahau ulichoongea👇👇
Hayaa weeee!!umekalia kuti kavu leo[emoji1787][emoji1787]Kwan ww ni nani [emoji23][emoji23][emoji23] mpaka nikuoneshe ushahidi utadanganya wengine mm nikiwa sipo humu madamu mm nipo tulia kwanza
Hahaha leo kakutakana na kisiki hana hamu 😂😂😂😂 mpuuzi tu huyu namjua vzr sana
Juzi ulipokuja kwn hukuzionaNikwepe na sijaona suburb naona unaniletea takataka hapa mara white and blue wapi suburb ukae mizani moja na mwanza [emoji23][emoji23]
Danganya wengine nikiwa mm sipo humu madamu mm nipo humu tulia kwanza 😆😆Hayaa weeee!!umekalia kuti kavu leo[emoji1787][emoji1787]
Huyooooo, muongoooooo leo nimemkamata
Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo moja yako sitaki kuileta tena, yani itaje hta basi kw kunielekeza mi nitaijua tayari...tusipoteze mda please[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umesahau ulichoongea[emoji116][emoji116]
Hzi hapa niliziona 👇👇👇👇👇
👇👇👇👇👇👇👇Hyo moja yako sitaki kuileta tena, yani itaje hta basi kw kunielekeza mi nitaijua tayari...tusipoteze mda please
Sent using Jamii Forums mobile app
Ghorofa za mwanza zote hapo hazijazi mkitaka ongezeni na arusha piaHzi hapa niliziona [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1414563View attachment 1414564View attachment 1414565
Then uliziona ukienda wapi ndio nisizirudie kuzileta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hzi hapa niliziona [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1414563View attachment 1414564View attachment 1414565
Hakuna kulala maamaee kitu kipya hicho apo tunasubiri updates za kms of paved roads [emoji3][emoji3][emoji3] hatokaa mkenya humu we subiri [emoji116][emoji116][emoji122][emoji122]Barabara za suburb mwanza, wacha nicheke kidogo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1414466
Sent using Jamii Forums mobile app
Barabara mpya za wilaya ilemela[emoji23][emoji116][emoji116]
Magu halazi damuView attachment 1414468View attachment 1414469
Wewe wa ajabu kweli yn kwa mkuluwole kabisa pasijengwe lami, unawazimu ww co bureMpya na wakati hyo ni habari ya juzi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1414475
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1414477
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji382][emoji382]Kwa vile hapa naona barabra kwenye estates za old town[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1414507
Watu noma sn I can see plate number there, T2020JPM [emoji3][emoji3][emoji3] very creative scene.Another giant mtwara baby[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1414550