Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na ndiyo maana hata nilipojaribu kufungua iligoma aisee
Na katika kupunguza suala la mimba serikali itajenga shule 5 za bweni maalumu kwa ajili ya wasichana tu, na kuna baadhi ya shule za kutwa zinajengewa mabweni ya wasichana, kwa hiyo inaonyesha serikali iko kwenye mipango mizuri ya kuzuia tatizo.
Kuzuia tatizo ni Bora kuliko kutibu tatizo.
Mfano kuzuia ugonjwa ni njia nzuri kuliko kuacha ugonjwa uje halafu utibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…