Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama vile Dar nzima inaingia kwa Kilimani na change juu yakeView attachment 1410891View attachment 1410892

Sent using Jamii Forums mobile app
Dar=3*Nairobi in size!

Mkoa wa Dar es Salaam wenye eneo na km za mraba 1,800 ulianzishwa kutoka Mkoa wa Pwani mwaka 1973 ukiwa na Wilaya 3 za Ilala, Kinondoni na Temeke. Mamlaka za Serikali za Mitaa za Mkoa wa Dar es Salaam zilizopo sasa zilianzishwa mwaka 2000 baada ya kuvunjwa kwa Tume ya Jiji iliyokuwepo kufuatia kuvunjwa kwa Serikali za Mitaa mwaka 1996 kulikoendelea hadi mwishoni mwa mwaka 1999.

Historia | Mkoa wa Dar es Salaam

Nairobi is 696 sq. km

2019 Kenya Population and Housing Census Volume I: Population by County and Sub-County - Kenya National Bureau of Statistics
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…