ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Siunataka kujua kuna magari dar anzisha nizae na wewe😀😀😀😀😀unaeza anzisha pia.
Siunataka kujua kuna magari dar anzisha nizae na wewe😀😀😀😀😀unaeza anzisha pia.
I am personally inviting you,ukam tutembee NairobiKupitia hizi picha nimejua kwamba Nairobi ina majengo ya kizamani mengi ,barabara nyembana ,na barabara zenye vumbi ,itakuwa picha nyingine huwa mnaedit
Kiukweli waafrika hatuchekani kubali upinge ingawa tunazidianaI am personally inviting you,ukam tutembee Nairobi
Wewe unaona hio ni barabara... Its a backdoor walk way and also used as a parking lot.. Do you see any cars moving?Umeona picha alizo tuma mkenya mwenzio hapo juu ?
Mi nilidhani Nairobi cbd haina ma vichochoro kumbe yapoWewe unaona hio ni barabara... Its a backdoor walk way and also used as a parking lot.. Do you see any cars moving?
To be honest ur swahili hapo imenipiga chenga, but what I can say is the same challenges we are facing as kenyans you too are tho to different degreesKiukweli waafrika hatuchekani kubali upinge ingawa tunazidiana
Apa pachafu sana ni Nairobi pia