Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahahaha πŸ˜‚πŸ˜‚ you guys (both TZ and ETH) have spent a tenth of OUR annual budget in "weapons"!? 😹😹😹yaani a TENTH! of KDF budget

hahahah

Sorry.. Military Equipment*
Naona leo sindano za nguvu zimekuingia πŸ˜‚πŸ˜‚ tumenunua ila hio sio our whole millitary budget naona umechanganyikiwa hapo

hio ni only budget ya ununuzi wa vifaa πŸ˜ƒπŸ˜ƒ

ahahaha naona mushaanza kuelewa sasa

sorry naomba nipost tenaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Uhehehe natural disease ndio GDP yenu haiwezi kupambana basi itakua ni ushuzi wa GDP πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Natural disease ndio Nini Tena?..Soma uelewe nilichokiandika. Mnajiita Dona kantri na elimu ya sekondari imewashinda hadi msaidiwe misaada ya kuwapeleka watoto shule kumbe hata wewe unahitaji hizo fedha vile reasoning and interpretation yako ni Buku saba.
Top 10 poorest duniani na ile growth yenu ya 7% vile tu mnatuambia hapa imeashiriwa kwenye hili jedwari.
Hii hapa ni ukweli bro ama dunia nzima inawaonea?
 
Hiyo budget ingine ni ya vitu vigani Kama sio kubangua koroshow, kununua nyundo za kuvunjia mawe na Nini ingine Bro? ...hebu weka hapa bro tudadavue mbichi na mbivu.
 
Hiyo budget ingine ni ya vitu vigani Kama sio kubangua koroshow, kununua nyundo za kuvunjia mawe na Nini ingine Bro? ...hebu weka hapa bro tudadavue mbichi na mbivu.
Ahahaha korosho bado inakuumiza kichwa budaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ korosho ni zawatanzani na walionunua ni serekali ya tanzania so sijui unakwama wapi
 
Mkibanwa kwenye ukweli munakimbilia LDC πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ethiopia ni LDC ndugu,hivi unajitambua kweli????
Tena Sana. Wewe hujui Ethiopia inaifuata Kenya kiuchumi alafu Tz inaifuata Ethiopia? Ethiopia wamewapiku hivi majuzi tu ama unajisahaulisha? Si mlikuwa mnashikilia nafasi ya Kwanza miaka ya 70s, 80s & 90s Kenya ikawapiku na Sasa hivi 2020 mpo namba 3 ukanda huu na muda sio muda Rwanda Watawapiku pia.

70s
1. Tanzania
2. Kenya
3. Uganda
4. Ethiopia

80s
1. Kenya
2.Tanzania
3. Uganda
4. Ethiopia

90s
1. Kenya
2. Tanzania
3. Ethiopia
4. Uganda

2000-2020
1.Kenya
2.Ethiopia
3.Tanzania
4.Uganda

2023
1. Kenya
2. Ethiopia
3. Rwanda
4. Tanzania
5. Uganda

2030 - Hadi kurudi kwa Yesu
1. Kenya
2. Ethiopia
3. Uganda
4. Rwanda
5. Tanzagiza
 
Ahahaha korosho bado inakuumiza kichwa budaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ korosho ni zawatanzani na walionunua ni serekali ya tanzania so sijui unakwama wapi
Wakulima wamefikiwa na Corona na bado hawajalipwa. Nafikiri ndio sababu kuu nyinyi kuwa kwa hiki kikundi... Naona hata hupingi unajaribu kukwepa kwa kuangazia certain issues
 
Wakulima wamefikiwa na Corona na bado hawajalipwa. Nafikiri ndio sababu kuu nyinyi kuwa kwa hiki kikundi...Naina hata hupingi unajaribu kukwepa kwa kuangazia certain issues
View attachment 1408483
2020 juzi tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



2019πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



2018πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Mkibanwa kwenye ukweli munakimbilia LDC πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hapa hakuna LDC, wamesema poorest countries in the world....LDC ni zaidi ya Nchi 40. Wameangazia Nchi 10 peke yake Dona Kantri ikiwemo kando ya Yemen.
 
Hapa hakuna LDC, wamesema poorest countries in the world....LDC ni zaidi ya Nchi 40. Wameangazia Nchi 10 peke yake Dona Kantri ikiwemo kando ya Yemen.
Sasa ww huoni ajabu MLDC inapewa msaada kupambana na locustsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huoni maajabu GDP debt to GDP imefika red line 😁😁😁 huoni maajabu wahudumu wa afya hamuwalipi pesa zao, we huoni maajabu kenya inapewa msaada wa chakula kila mwaka ohh nye nye sisi GDP
 
Sio mbaya tunagawana title sisi LDC nyie ni failed state..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…