Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii[emoji205] kwa kusahau unajua kitu inaitwa PPI.
Kuna Mdada wa kikenya kapost tsh20000 kisha kasema ni sawasawa na ksh1000 ila vitu hiyo hela inaweza kufanya ukiwa tz ni Mara 5 ya kenya


Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!!hku bei za bidhaa kenya tz na ke kumbe hazijapishana[emoji1787][emoji1787]
Usitake kuhalalisha malipo yenu duni kisa eti unataka kuonekana umeoandika point

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Street lights hta turkana zipo so uache ushamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mhuni jamaa afu lazma ushawai kuwa tapeli maana unajua sana kuwa kinyonga ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…