The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Ww mbn unaingia unatoka unaingia unatoka hujiamini auu[emoji3][emoji3] km unajiamini tunataka kuanzisha mbungi ya hospitali kenya vs Tz je upo ready?? Wenzio wame change gear angani wameanza kuleta battle ya kijinga eti beds af beds zenyewe ni za msaada, hahahahahahahahahaaaaa yn tukae hapa tuanze kubishania vitanda jmn hii haki kweli hii, bei yake sh ngp kitanda ikiwa tunanunua mashine za kitabibu ambazo hazipatikani EA nzima itakuwa kitanda?? Smh
So mna ICU 518 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Huyo huwa haelewi kiingereza. Hiyo screenshot yake is clearly written...or critical care unit lakini bado anabisha. The word critical is already used to define ICU lakini bado anatusumbua
Kuna ICU isikuwa na kitanda? Without that special bed it can't be called ICU unless kama za kwena hazina vitanda[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ushakubali tayar ya kwmb ni vitanda co, hehehehehe ndo mana huwa nasema hawa ni wa kwenda nao taratibu wana mihemko sn huwa hawasomi kitu wakakielewa
π π π π hasira zimeanza. Ingekuwa ni rahisi hivyo hamngekuwa nazo 38 tuWw mbn unaingia unatoka unaingia unatoka hujiamini auu[emoji3][emoji3] km unajiamini tunataka kuanzisha mbungi ya hospitali kenya vs Tz je upo ready?? Wenzio wame change gear angani wameanza kuleta battle ya kijinga eti beds af beds zenyewe ni za msaada, hahahahahahahahahaaaaa yn tukae hapa tuanze kubishania vitanda jmn hii haki kweli hii, bei yake sh ngp kitanda ikiwa tunanunua mashine za kitabibu ambazo hazipatikani EA nzima itakuwa kitanda?? Smh
Ndio in different parts of the country wakati nyinyi mnazo 38. Alafu jaribu ufundishe ichoboy kizungu kidogo. Haelewi hata links na screenshots anazoleta hapa. Ona anavyojichanganya na hiyo screen shot yake! Anatia huruma kwa kweliSo mna ICU 518 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sisi hata tukiamua kupima nchi nzima haitakaa itokee tuwe na cases nyng km nyinyi cz cc haturundikwi sehemu moja km mizoga the way polisi wanawafanyia nyie cc co wamyama hatupangiwi mda wa kulala hatupigwi mabomu pia hatuna njaa ya kuvuka kwenda nchi ya ng'ambo kuomba chakula na ndio maana haiwezi kusambaa km kwenu au km nchi zngne za EAActually tuko na 59, not 57 and that's because our capacity to do tests is three times what you can manage. It's even a good thing we are getting these people to avoid maambukizi zaidi. Wale wenye waligundulikaleo wangeendelea kuambukiza wengine kama tungeweka maombi mbele na sio vipimo
Those are isolation wards and they are found in all counties. Wacha kulazimisha mambo. Not all counties in Kenya have ICU units but these isolation wards are found in all the 47 counties Counties prepare virus isolation wardsAcha ujinga, nmetoa kwny link yko hyo data, ni 256 ICU beds[emoji116][emoji116] unless utuambie hzo 518 ICU beds znapatikana kwny hospital zipi na zpo kwny counties zp na utupe credible sourceView attachment 1405464
Those are isolation wards and they are found in all counties. Wacha kulazimisha mambo. Not all counties in Kenya have ICU units but these isolation wards are found in all the 47 counties Counties prepare virus isolation wardsAcha ujinga, nmetoa kwny link yko hyo data, ni 256 ICU beds[emoji116][emoji116] unless utuambie hzo 518 ICU beds znapatikana kwny hospital zipi na zpo kwny counties zp na utupe credible sourceView attachment 1405464
What a sweet way to defend your inadequacies! Keep up and don't forget to praySisi hata tukiamua kupima nchi nzima haitakaa itokee tuwe na cases nyng km nyinyi cz cc haturundikwi sehemu moja km mizoga the way polisi wanawafanyia nyie cc co wamyama hatupangiwi mda wa kulala hatupigwi mabomu pia hatuna njaa ya kuvuka kwenda nchi ya ng'ambo kuomba chakula na ndio maana haiwezi kusambaa km kwenu au km nchi zngne za EA
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]Ndio in different parts of the country wakati nyinyi mnazo 38. Alafu jaribu ufundishe ichoboy kizungu kidogo. Haelewi hata links na screenshots anazoleta hapa. Ona anavyojichanganya na hiyo screen shot yake! Anatia huruma kwa kweli
sikuelewi unachozungumza mzee bora unyamaze tu unajifedhehesha [emoji4][emoji6]Naona mumeamua kurudi sasa, manake ile aibu mumekutana nayo sidhani km mngelithubutu hata kujaribu kuleta data za kutoka pande..
Bali mmebaki kando kando km wanawake wa tandale waliomsindikiza mwenzao kwenda kumchamba mchepuko wa mumewe..eti hzo data ni za 2009 lkn sioni yyte anayetaka kujiingiza nyote mlikuwa mnaogopa msiulizwe za 2020 ziko wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Those are foreigners who jetted in, put on quarantine and later tested positiveByda kati ya hao 59 kumi ni raia wa kigeni mazee..sijui hata hili balaa limewapate hku, au ndio wale walokutwa airport
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe unajua umuhimu wa kuomba eehh [emoji3][emoji3]What a sweet way to defend your inadequacies! Keep up and don't forget to pray
Underline the word AVAILABLE. In the link I shared earlier, it was clearly written that out of the 518 beds, 439 of them are already in use. That leaves us with around 70 unoccupied beds.[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1405500
Umekasirika π π π pole jomba. Inakuanga hivyo matimesNow nimegundua Kwanini mnat*** magaldem zenu na wabongo π
Ameleta tu hiyo kumjibu yule kilaza wenu Aliyetaka aonyeshwe Kitanda cha ICU. No wapi Kenya imetajwa hapo? Asira zimewapanda already?Af ni donation na bado mna brag about in here, dah mkenya ni mkenya tu walahi
So mna ICU 518 [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hawa jamaa uwezo wao umekaa kama kiberaJubilee Inatandika beds alaf inadanganya wakenya muna ICU 300πππππ munasafari ndefu sana
Sasa wanaopeleka vipimo South Africa wanahali gani sijuiWalio na safari ndefu ni wale wenye maabara moja