Nionyeshe laboratory mnayojenga kupambana na Covid-19. Hayo ndio mambo ya msingi kwa sasaInawapumulia kichogoni πππ
BRT phase 2 hebu nioneshe ile yenu munayojengaππππ
View attachment 1405364View attachment 1405365View attachment 1405366View attachment 1405367View attachment 1405368View attachment 1405369
Over 300. Mko na ngapi nyie??Ulisema kenya ina ICU ngapi hebu rudia πππππ
Sitakuletea km ulivyoshindwa kunifafanulia maana ya hospitaliLeta official link kenya ina ICU 350 kama ww mwanaume kweli[emoji23][emoji23][emoji23] Nicxie saidianeni
Nionyeshe laboratory mnayojenga kupambana na Covid-19. Hayo ndio mambo ya msingi kwa sasa
Unavoongea ni kama vile tanzania inaleta vipimo kenya au???πππNionyeshe laboratory mnayojenga kupambana na Covid-19. Hayo ndio mambo ya msingi kwa sasa
Uhehehe nakwambia na nakukaribisha anytime ukiwa tayar niambie twende kazi
Hehehe over 300 au sio πππππOver 300. Mko na ngapi nyie??
Anza kwa kutuambia mko na vitanda ngapi za ICU kisha umalizue na maabara ya covid-19. We can use these two as a parameter to gauge which country has superior health system between the twoAnakwepaaa [emoji3][emoji3][emoji3] kweli hii co Tz ya 90s, hawez kukubali cz anajua kitakachofuata ni aibu
Wewe uko na 38, mimi niko na zaidi ya miaka tatu. Yani nimekushinda mara kumi na bado unatoa povu!!!Hehehe over 300 au sio πππππ
Unasubiria nn na wakati nangojea dozi ya definitionUhehehe nakwambia na nakukaribisha anytime ukiwa tayar niambie twende kazi
Nakuuliza munayo over 300 au sio mamaee ππππWewe uko na 38, mimi niko na zaidi ya miaka tatu. Yani nimekushinda mara kumi na bado unatoa povu!!!
ππππππ Anytime just let me know
Uhehehe nakwambia na nakukaribisha anytime ukiwa tayar niambie twende kazi
Tatizo sio kuleta vipimo, la hasha!!Unavoongea ni kama vile tanzania inaleta vipimo kenya au???[emoji2][emoji2][emoji2]
Ndio uanze na kichwa sasa, utaendaje mkiani kabla ya kichwa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Anytime just let me know
Nimecheka sana. sisiemu sio watu wazuri. na vile walutuaminisha kwamba sisi ndio bora kwenye hii sector??? Sisiemu hoyee!!!! π π π πDuh!!38[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nicxie kuja ujionee jamaa amejiumbua hta bila ya kuulizwa..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamepeleka south africa for test alaf anakuja mpuuzi anatoa ushuziππππMnapoteza muda kubishana na hizo shosho mbili!
Embu kuweni serious πππ
Nixcie, wameshamtuma mwngine aje kuokoa jahaziMnapoteza muda kubishana na hizo shosho mbili!
Embu kuweni serious [emoji23][emoji23][emoji23]
na ile maabara yao moja wakijaribu sana ni watu 50Tatizo sio kuleta vipimo, la hasha!!
Je mna uwezo wa kupima watu wa ngapi ndani ya masaa 24..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sector munaeza enda sambamba na tanzania mark my words hakuna na kama huamini twende kazi am readyπππNimecheka sana. sisiemu sio watu wazuri. na vile walutuaminisha kwamba sisi ndio bora kwenye hii sector??? Sisiemu hoyee!!!! π π π π
Hawa ndio wale wale watu wa 6000km[emoji1787][emoji1787]Nimecheka sana. sisiemu sio watu wazuri. na vile walutuaminisha kwamba sisi ndio bora kwenye hii sector??? Sisiemu hoyee!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]