The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Magu ni very genius leader, nitaendelea kumuunga mkono regardless situation yyte ya kiuchumi ntakayo face, as long as anatekeleza bac mm nitaendelea kupiga kelele za kumuunga mkono, haya ndio mageuzi ya kiuchumi ambayo mabeberu na macapitalists uchwara from north wasingependa kuonaDuh hii COVID ina slow sana economic growth
.nmeangalia hyo video ..7k to be employed ni kiwanda kitacho turn around maisha ya wengi..plus those revenues 26mil β¬ ...kwa mwaka..added to the economy..sio mchezo...Mungu atusaidies hii COVID iishe tu..kazi ziendelee
Plus NSSF and Other schemes..should try to do the same projects fast imagine having another
Industry- NSSF ina produce Nguo and all cotton products
Maybe LAPF wafocus kwenye - Assembly ya Tricycles and Motorbikes
And more and more
...ndo maana Magu hakutaka wajenge majengo instead viwanda
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwana bwana bwana makumbusho kiboko yao aiseewhat a beautiful view!
Kwa mama ntilie asubuhi a cup of tea ni tshs 200, andazi moja 100, so apo km mpo wawili mnaweza kupiga chai vikombe viwili na maandazi 6, hehehehee haya tuambie na ww hyo kshs 45 unakula nn cha maana [emoji3][emoji3][emoji3]
Miti ipo ila sio forest km la naipori, eti mnaanza kujitetea hapa bila aibu kuwa mnatunza mazingira... wtf.Mitaa yenu mbna hakuna miti jomba[emoji23][emoji23][emoji23]
Cc:tuusan mnyooshe kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa dar chumba na sebure chenye umeme jip-sam na kivalanda unapata kwa bei ya tsh60000 = ksh3000 kwa mwezi chumba dar hadi tsh20000 = ksh1000 kwa mwezi
Umejitahidi kutumia image ambayo ni small scale paonekane padogo , tukiikuza kidogo tu it becomes the worst and largestKibera? π π π View attachment 1402363
compare with your uswazi hovels zinazopatikana kushoto kulia
Vyumba na nyumba vinapangishwa Kigamboni - JamiiForumsHeheheee!!usikimbie mada bana, nikuulize ni kweli uswazi vyumba ni tsh25k
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ni eneo jipya ckuwa nalijua [emoji3][emoji3][emoji3]kumbe kibera kubwa hiviThanks for showing us kibera for the a millionth time [emoji23] [emoji23]
Mkuu haya marungu unayowapiga wamekukosea nn mzee au wamechelewa kuingia ndani leo, maana huchagui eneo popote unatandika rungu [emoji3][emoji3][emoji3]Umejitahidi kutumia image ambayo ni small scale paonekane padogo , tukiikuza kidogo tu it becomes the worst and largestView attachment 1402409
Kumbe tukiamua tunaweza hata kuimaliza maralia
ππππππππThanks for showing us kibera for the a millionth time π π
Wamenitukana asubuhi πππππMkuu haya marungu unayowapiga wamekukosea nn mzee au wamechelewa kuingia ndani leo, maana huchagui eneo popote unatandika rungu [emoji3][emoji3][emoji3]
Hata kama wasingekutukana we piga tu, Wakenya maisha yao ni kama wapo gerezani wamezoea kupigwa [emoji3][emoji3][emoji3] piga babaWamenitukana asubuhi [emoji56][emoji56][emoji23][emoji23][emoji23]
Ww au mzungu nani anaakiliππππThanks for showing us kibera for the a millionth time π π
Shida ya hawa wanatakaga wawe juu hata kama hawajafika level hizo, ivi kweli kwa maisha ya hawa jamaa kuna haja ya kujiita middle-income country? ππππHata kama wasingekutukana we piga tu, Wakenya maisha yao ni kama wapo gerezani wamezoea kupigwa [emoji3][emoji3][emoji3] piga baba
π°π°πππ**mae kamji kote kamezungukwaWw au mzungu nani anaakiliππππView attachment 1402458