na mwisho wa siku hatuto argue nao,, tutaendelea na story zetu binsfsi za kujenga taifaWw tulia report mpya itoke, km ilivyotoka ya millionaires mkabisha hapa lkn baada ya D-N-A theory ku operate now mshakubali, ss subirini kwny roads, afya, majengo, electricity, railways (hapa kabla hata ya new report tushamalizana) zen tutamalizia GDP, nawaambia hamtabaki hapa jf mtaona mnanyanyaswa, pia ata cc tutaona tunajichosha tu cz hatutakuwa level moja, na baada ya hapo tutaingia kwny mchezo wenu wa kitumwa mnaoutegemea nakwambia huko napo hatutawaacha salama kwakuwa tutakuwa tusharekebisha mambo ya muhimu so hvyo vitu vdg tutamalizia, watz hawajawahi kushindwa kitu wakiamua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Jessica alikuwa serious na hiiUjenzi wa hospitali ya uhuru Dodoma
View attachment 1398553
View attachment 1398551
View attachment 1398552
2012/2013 mkuu hebu weka ya 2018. Sio lazima udanganye ushinde argument.Na hii ndio official paved road yao😂😂👇
Kuna kenha,kerra, kura and kws total inakuja almost 11,000km
View attachment 1398501
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anaeishi kwenye nyumba ya kuta za matofali + maji safi + madirisha + barabara safi vs mtu wa kibera mwenye nyumba ya kuta za mabati + njia zilizojaa flying toilets, hawalingani hata kidogo
Wako na akili fupi sana 😂 😂 😂Kuna yule mwenzake wa BRT mpeni salamu mwambieni dawa inakaribia kuiva nitamtumbua humu bila ganzi subirieni tu😂😂 kenya wajenge BRT africa nzima haitalala😃😃😃😃
Ndio kama yule fala mwingine alipost picha zina daladala za mstari mwekundu zilizoandikwa makumbusho-kariakoo amabazo zilifutwa tangu 2015.Kijana niliwah kutoa hadi taarifa ya tanroad ilioshia 2018 humu lakini naona unapunguza figure ...report ilikua na 12573km are paved mwaka 2018 so anzia pale hadi leo hatujajenga barabara kabisa?
Ndio maan mnatukwanwa sana humu kwa kupenda vitu cha kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mlevi wa changaa wala asikusumbue.Ndio kama yule fala mwingine alipost picha zina daladala za mstari mwekundu zilizoandikwa makumbusho-kariakoo amabazo zilifutwa tangu 2015.
Nlichogundua hawa mapunga wanapamabanisha TZ ya miaka 5+ back vs Kenya ya 2020
Soma shares hzo mjinga wewe 😂😂👇👇Serikali ndio inapata mgao mkubwa jomba, unafikiria safaricom alilipa kodi kiasi gani 2018 na aliingiza faida kiasi gani..
We lazima ukapimwe akili nakwambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Total paved roads in 2015 6600km
Kuna mkenya mmoja anataka kutuambia hatujaongeza km hata moja miaka mitano while we almost add 1k in 1 year...kuna siku tuusan alituma source (last year)from mwananchi (wizara ya ujenzi) we at 10000km of paved
Sent using Jamii Forums mobile app
Niletee ww ya 2020 heheh unaona watu humu wapumbavu sana 😂😂😂😂😂2012/2013 mkuu hebu weka ya 2018. Sio lazima udanganye ushinde argument.
Ahahaha mbona hawajaekwa hapo 😂😂😂 wala hawajatajwa musifanyr watu wajinga humu wengine tuna familia😃😃😃Do you know who owns the 25%? Those are Kenyans. Now take 35+25 upate jibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnaefeel aje na hile 6,000km yenyu wakati Kenya wako 20,000km?Niletee ww ya 2020 heheh unaona watu humu wapumbavu sana![]()
Ahahaha mbona hawajaekwa hapowala hawajatajwa musifanyr watu wajinga humu wengine tuna familia
![]()
2013 tulikua na paved road 7500km +Kwendeni huko, hata 7000km ndio hamjafika. Mbona msinionyeshe any article inayosema mmevuka 7000km. Kenya washapita 20,000km na nyinyi bado mnaoongea rumors hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhehehe ohh kenya inamiliki safaricom yote mbuzi wewe munafanya watu wapumbavu humu mkiambiwa uchumi wenu umeshikwa na investors munakua wakali sana 😂😂😂😂Ushaiona any company ikitaja majina ya those others? Na ujue Safaricom first pays taxes to government of Kenya which is more than 30% of their profit. Now take 35% profit received by government and then add to the tax paid which also government receive. That's around 65% add that 25% of other Kenyans and that's how you get 90% of all revenue remaining in Kenya.
Sent using Jamii Forums mobile app