Ndio ujue hapo ni dar, kwn hukioni kibanda cha brt[emoji23][emoji23][emoji23]Kwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Dar ya wapi jmn mbn mm siijui na naishi DarBoya ni mtu anayeishi hapa na AnajivuniaView attachment 1397791View attachment 1397792
Mbna hapo hujazoom umeleta hvo hvo[emoji23][emoji23][emoji23]Kweli enhh[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1397937
Ndo ile umejipiga na ww mwnyw af ukapost humu kwa bahati mby [emoji3][emoji3][emoji3] unapata faida gn kuongopa.Nimejenga nyumba nzuri sana kijiji kwetu. Ten times better than the dream house you own in Dar with pride. Secondly, the house I rent in Nairobi is a million times expensive than your uswazi hovel that you own
Walahi wakenya ni wanafki sn utasikia wakisema hakuna nguzo za magogo kenya, hapo naona nguzo za umeme za sementi [emoji3][emoji3][emoji3] mnapata faida gn kuongopa mbuzi nyieHahahhaa hzi ndio nyumba za karibu very clear pic[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani nimefurah sana umepost haya tupitie na hzi sasa mabanda ya nguruwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116] mzungu anaakili sana aiseeView attachment 1397801View attachment 1397802View attachment 1397803View attachment 1397805View attachment 1397806View attachment 1397807View attachment 1397808View attachment 1397809View attachment 1397810View attachment 1397811View attachment 1397812View attachment 1397813
Haya nambie wapi dar ni kwa walala hoi?
Correct hiyo sentence,nikuonyeshe... unaleta porojo!Kila siku huwa nakuambia you act like a know-it-all wakati hakuna unachojua
Huoni kuwa hiyo ni low oblique 😂😂😂haina haja ya kuzoom
Kwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiangalia hii video kwenye hii tweet utaona yale majengo ambayo huwa wanayapiga picha vipande pande ili kuficha baadhi ya sehemu.
American living in kibera shitsHi bitch **** you!View attachment 1397590
Mhh aisee wakenya km hamtamaliza uchafu ulio kwny slum huko Nairobi, hamuezi kuwa na The best City in Africa hata mfanyeje, cc mda c mref tutafika huko mana tatizo letu cc ni ujengaji kiholela lkn kwa ss naona mipango miji kdg wameamka so we are moving on.Mzungu anatoka kwao kushangaa maajabu ya dunia alaf akae asione slum dar aone nairobi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1397831View attachment 1397832View attachment 1397833View attachment 1397834
Umeona ee!! na hizo sehemu shida ni planning tu ndio ilipita kushoto, lakini makazi mengi ni quality ya kulizishaKwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilaza huyo..msamehe tu
Lishe kubwa mzee lazima uwaone wakubwa, hao ni advance (form 5 & 6) [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] leo umenchekesha sn yn unapagawa na miili ya watz wa kisasa, wanakula hao, tena co cha msaada.Hao wanaume hapo mbele ni walimu au wanafunzi 😳😳😳😳
UmejuajeNina akili kukuliko and that I can swear to my last cent
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Turudi kwenye slum kwanza ww na mzungu nani anaakili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaakiki kuniliko wapi munajenga BRT hebu tuoneshe ili nione kweli unaakili huna chochote mjinga wewe eti mm naishi sehemu huwezi afford [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kua kama yulr mwehu wenu collo mzii anamiliki techno anadanganya anamiliki iphone 7 mbona alikimbia humu[emoji2][emoji2][emoji2]
Unaposti mapicha za kibera,unachanganya sijui mapicha za wapi huko plate number sijui za nchi gani,mapicha zenyewe za miaka mingi nyuma.. unaposti mapicha zinazungumzia cholera mkoani rukwa,wakati Tanzania now cholera ni history..hatuna hizo case..updates yourself girlPOVERTY IN DARSLUMView attachment 1397656View attachment 1397657View attachment 1397658View attachment 1397659View attachment 1397660View attachment 1397661View attachment 1397662View attachment 1397663View attachment 1397664View attachment 1397665View attachment 1397666View attachment 1397667View attachment 1397668View attachment 1397669View attachment 1397670View attachment 1397671
Hahaha mnakosea sana hapo,Mimi nikijenga mjengo wangu kwetu lengo ni kwenda kupumzika tu nikiwa likizo...siwez staafu kazi nikarudi kijijini ambapo sijawah kuishi kwa zaidi ya siku 30 kwa mwaka...mjini nmeset business,mirija kadhaa y kuingiza kipato, hata nikistaafu sichomoki town buddaUnaumia kuskia watu wanajenga vijijini, kwn unataka watu wajenge uswazi mjini...
Jenga mjengo wa hadhi kwenu, halafu uongezee na rentals juu upige hela hku wewe ukibagi kupiga kazi mjini...siku una staafu hta ukirudi kupumzika unatulia katika mjengo bila stree hku ukila kodi..
Hata wanao wakikusahau utakua umeshajipanga na kashamba kiasi tu ka kujikip busy ukilimalima
Sent using Jamii Forums mobile app