Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,367
- 1,006
Still upo kwenye shida moja tu ya mpangilio wa makazi 😂hatujawahi kuwa na conclusion juu ya ipi ni the best settlements organizationMbna hii hifanani na hyo na bado hatuja zoom[emoji23][emoji23]View attachment 1397930
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana uwezo wa kulipa umeme ikiwa county haina pesa ya kulipa umeme kwenye hospital ya county 😂
Middle class ya huku unaijua wewe 😂😂😂
Kweli enhh😂😂👇👇👇Mbna hii hifanani na hyo na bado hatuja zoom[emoji23][emoji23]View attachment 1397930
Sent using Jamii Forums mobile app
The one bewitched you nazani kafariki, hatuna ubaguzi sana kama kwenu na ndio maana mna slums kwa walala hoi been taabani 😂
Unaumia kuskia watu wanajenga vijijini, kwn unataka watu wajenge uswazi mjini...halafu hawa wakenya walio humu jamii forums wengi ni matope sana ni wale ambao wanaujobless flan ivi,,,unakuta mtu anakuambia kajenga nyumbabkijijini wakati hata hajaulizwa ni wanamawenge sana[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wenye uwezo hawajengi majumba yao ya kuishi nairobi, thats why unakuta wengi wao wanajikita kwenye investiments sana sana...Short and clear huna uwezo wa kumiliki ardhi wala kujenga nairobi siuseme hvo kwann unazungusha maneno mengi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Kushinda hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]hauwezi linganisha sehemu iliyojengeka na sehemu isiyojengeka hata siku moja....
[emoji23][emoji23] hizo sehemu ziko kibabe sana tofauti na hilo jicho lako chongo linavyofikiri
nairobi ni city village villa park.....ni msituni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kibanda cha room tatu nairobi basi si utaishia katika category ya kwenye slums...Umeshaanza mayowe...sawa uko kikazi n all that,huoni kua na kibanda Nairobi ni fursa kuliko uko shambani kwenu ulikojenga (sidhani kama ni kweli)....Mimi binafsi nakushauri ujenge Nairobi kibanda cha room tatu cha wastani maana uko baadae ndio hali itakuwia vigumu zaidi maana plot zinapanda bei sana...
Kama kujenga huwezi basi fanya unavyofanya ununue apartment yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Km hayahusiani basi hyo mada umeiletea nnAchana na hayo hayahusiani na battle hii
Pesa km iko ya maana invest basi, km vile real statesKama pesa ipo unajenga tu shida iko wap...uko kwenu ndio kuna nn so far?au ufahari tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muacha mila ni mtumwa[emoji23][emoji23][emoji23]That is the weakness of your land systems [emoji23][emoji23][emoji23]kujenga dar hainiondolei ruhusa/fursa kujenga kijijini kwetu, na sio lazima nijenge kijiji kwetu naenda kujenga hata region nyingine ndani ya nchi yangu nitakako penda mwenyewe unlike you poor Kenyans infected with tribalism [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio ujue wamewashinda watu wa uswazi wengi sana...Unatumia gas alaf unaishi humu[emoji23][emoji23][emoji116]
View attachment 1397932View attachment 1397933View attachment 1397934
Kizuri chajiuza jombaStill upo kwenye shida moja tu ya mpangilio wa makazi [emoji23]hatujawahi kuwa na conclusion juu ya ipi ni the best settlements organization
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]Hawana uwezo wa kulipa umeme ikiwa county haina pesa ya kulipa umeme kwenye hospital ya county [emoji23]
Zitaje hzo place km zitafika hata kumiMiddle class ya huku unaijua wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Uswazi ndio middle class bana, en thats a factThe one bewitched you nazani kafariki, hatuna ubaguzi sana kama kwenu na ndio maana mna slums kwa walala hoi been taabani [emoji23]
Kwakweli niwe muwazi, Dar kuna sehemu nyng hazipo planned na mm huwa najiuliza mipango miji kazi yao ilikuwa nn, ila haijafika huko yn hapa Dar hakuna sehem km hyo na ukiprove hapa kwmb hyo ni Dar ctakuwa na cha kufanya zaidi ya kufunga account JF[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Just the same way you survive here Mr geography View attachment 1397761
Unakumbuka zile enzi ulikuwa ukisema hizi picha ni za Congo na Nigeria? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante sana kw kutujuza, tanzania pia mtapata mgao wenu wa hvyo vifaawazee wa GDP utaskia wanaanza kuuza[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]