Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hebu zoom utuoneshe slum hapoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ maana nataka kujua kati ya ww na mzungu nani mjingaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni nini huwezi ona hapo unataka tuzoom? Zoom zoom zombie πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Hakuna mkenya ana uwezo wa kumiliki nyumba,only you can own ni zile vibanda za mabati..kwa unataka kusema nairobi mmemuachia mchina na mhindi ajenge,ila nyie wakenya mmekimbia mji hadi ushago..you ar so funny
I can feel your pain bro. Pole Utazoea tu. Hizi zote zinamilikiwa na wahindi πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
We can't be the same.
 
Hiyo ni nyumba ya kuishi?
Weweseka tu hapa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni ya kufanya nini. Yaoneka unajua hiyo sehemu vizuri sana. Hiyo hapo pembeni ndio dream house yako unaimilki bado uko kwenye harakati ya kujenga? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…