Mwalo Chibya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2019
- 1,367
- 1,006
Ugonjwa wako wewe inaonekana haujapona, et squalors!! Nimekuambia ingia Google Earth ulete images za makazi mapya tuone lakini umeleta zile zile za tandale na manzese zilizo jengwa 30yrs ago (consider the rust on roofings) then tungelinganisha ubora wa makazi na hizo estates zenu ambazo nyingi ni poor qualityAfadhali nipangishe kuliko kumiliki squalor na nijivunie eti niko na nyumba. Tunamiliki nyumba zetu ushagoo (vijijini). Nairobi tuko kikazi, hatuko huko kujenga uswazi ndio tuonekane tumefanikiwa maishani.
Hehehehee "The world bank target will be to prioritize the poorest countries" so now you know that ur among the poorest countries(ldc) in the world [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kumbe wewe pia ni kama yule mzee wa miaka 90 Geza Ulole asiyejua lolote??? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I though he was alone
World Bank provides $12 Billion to support Coronavirus response
Well explained bro, ingawa kuna wanaopinga ila watakaa kimya tu watakavyoshuhudia. mtoto wa kiafrica anaugua mafua anaenda kucheza na kamasi likimdondoka, au maofisinihuoni watu wanavyoenda ilhali wanamafua na wengine hadi sauti zinafifia. Ila umwa mafua kwa wazungu halafu uende ofisini uone kama hawajakuona mchawi
CDC: 80,000 people died of flu last winter in the U.S. - STAT
Hata humu jf walikuwa wakizungumzia sn huo ugonjwa na dalili zake ndo hz hz za Coronakuna watu huko mtandaon wanasema tanzania mwaka jana tuliwahi kukumbwa na tatizo la mafua.. lbda ndo hayo corona
kama ndo yenyewe basi wazungu wameihype sana hii corona
InsufficientWhat do you even mean by that?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii inaitwa shit of the yearKwa hiyo kilicho andikwa kwenye hiyo tweet ni uwongo?
Hapa fruits tu wala sijaenda kwenye vyakula,
Outcry as fruits from Uganda, Tanzania flood local markets : The Standard
Una ubishi wa kijinga na ndio maana umekomaa.
Afadhali mmejua maana nlipga kelele corona is overrated majtu hayakuelewaHata humu jf walikuwa wakizungumzia sn huo ugonjwa na dalili zake ndo hz hz za Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Anapenda ubishi wa kijinga 😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hii inaitwa shit of the year
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww subiri mkuu hii Ni tz mpya tz ya viwanda ss watajua pa kupata raw materialsNdivyo mnavyojazwa ujinga na vyombo vyenu vya habari sio, Kama hata pamba mnategemea Tanzania kwa ajili ya viwanda vyenu vya nguo, tukiamua kuzuia pamba yetu, hiyo mitambo mtaigeuza kuwa ya kukamulia mafuta ya mirungi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ichoboy muoneshe arranged slum huyu, kwng zmefutika bahati mby, ebu muoneshe asijifanye mwehu[emoji3][emoji3][emoji3]I have never seen an arranged slum in my life
😀 Bongo nyosokuna watu huko mtandaon wanasema tanzania mwaka jana tuliwahi kukumbwa na tatizo la mafua.. lbda ndo hayo corona
kama ndo yenyewe basi wazungu wameihype sana hii corona
ndo Mana mzungu anakuita [emoji205] cz hujiamini pia huna character za kuwa human being, hv ushawahi fny analysis ni watu weusi wngp mpk ss wamekufa kwa huo ugonjwa wakiwa hapa Africa, u monkey hata analysis ndogo km hyo inakushinda unabaki kuogopa ogopa tu km mbwa koko, hv unadhani ww [emoji205] unaweza kudhibiti huo ugonjwa usiue maelfu ya [emoji205] wenzio pale kibera? Au unadhani unaweza kuuzuia huo ugonjwa usi spread sn km China? Jiulize af upate jibu acha uvivu wa kufikiri, tunatishwa sn kuliko ilivyo kawaida
Hata humu jf walikuwa wakizungumzia sn huo ugonjwa na dalili zake ndo hz hz za Corona
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikia ww acha kuharibu maana slum ni slum tu, informal settlements can be called illegal housing ss slum is not a house.Really??? Did you know that slums are also referred to as informal settlements?
Ni kwasababu Nairobi ni kaduchu compared with the giant dar es salaam, ni sawa na mtz akajenge kijumba chake posta, lkn nyie nyumba mnajenga ushagoo manaake umbali kdg kutoka Nairobi ni bush ila co kwa dar, jiji zima ni mjini af ni kubwa sn yn ukisema dar manaake ni mjini tofauti na nyie ukitoka Nairobi kdg tu ni pori (ushagoo) that's the case.Afadhali nipangishe kuliko kumiliki squalor na nijivunie eti niko na nyumba. Tunamiliki nyumba zetu ushagoo (vijijini). Nairobi tuko kikazi, hatuko huko kujenga uswazi ndio tuonekane tumefanikiwa maishani.
Jamani msichukulie poa huu ugonjwa! Corona inafanya mgonjwa ashindwe kupumua!kuna watu huko mtandaon wanasema tanzania mwaka jana tuliwahi kukumbwa na tatizo la mafua.. lbda ndo hayo corona
kama ndo yenyewe basi wazungu wameihype sana hii corona
Baba ingia youtube uone!kama unakubali corona ni mafua.. basi ujue mzungu na mafua hawapatani kabisa! ndo huko kwao wanaona ni hatari sana, ila sisi bongo mafua ni kawaida ila yakizidi sana ndo huwa hatari inaweza kukudhuru