Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
labda king of slums😂😂😂After all is said and done, Behold, Nairobi, The Undisputed King of Africa.
View attachment 1390481
Ndo unataka ulinganishe pori la kilimani na postaWhat separates Upperhill and Kilimani
View attachment 1390486
Tatizo huyo mgonjwa mpk anafika hapo hotelini keshakutana na wengi yn hapa ni kusali na kuomba tu isiwe kuna aliyeambukizwa
hasara atakayokula mwenye hotel i hope ana bima!Tatizo huyo mgonjwa mpk anafika hapo hotelini keshakutana na wengi yn hapa ni kusali na kuomba tu isiwe kuna aliyeambukizwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro what people see is only the Outcome!! Are you serious wiki ya pili hapa Daraja bado halafu ni la Central Corridor, point ni Delays, kwa vile vi Culvert ikija mvua lazima viende. NOTE IF YOU ARE A GOOD WORKER BUT YOU FAIL ON TIME MANAGEMENT YOU ARE ZERO. Note this. The point here is the Bridge and not well stated phrases [emoji3][emoji3][emoji3]Moja mi nimeona kuna kitu kimefichika! Kwa mfano kwann blame ya kutofukuza regional Engineer na wale 12 asipewe Waziri Mkuu badala yake Waziri na mkurugenzi TANROAD? Je kati ya hao kuna anayeweza ku-overturn decision made by PM aliyesema ahamishwe? Na sheria za nchi zinasemaje?
Pili, agizo katika suala la kujenga daraja la muda pembeni alitoa PM ili magari yapite matokeo yake hydrological maps hazikutazamwa vizuri pia upana wa flood basin haukuangaliwa na pia ubadilikanaji wa mkondo kutoka sehemu yake asili pia! matokeo yake maamuzi ya kisiasa! Baada ya siku kadhaa daraja limesombwa tena!
Tatu, Pamoja na kwamba mvua imechangia ila ukiangalia alipopita Rais leo, unaona kabisa river banks zimekuwa sort of constrained maana yake mkondo umefinywa na shughuli za kilimo je huko upper riparian areas kwa kiasi gani alteration hiyo imefanyika je principles za fluid dynamics zinaangaliwa kwa mapana yake? Je 60m za kuacha mto upumue kama sheria za mazingira za nchi zinavyosema zimezingatiwa?
Nne, je huu mto Kiegeya si distributary ya bwawa Mtera? Je Bwawa la Kidatu? Bwawa la Mtera au Bwawa la Kidatu si Wami River Basin System? How big is the catchment area? Si majuzi tuliambiwa mlango wa Bwawa utafunguliwa kulinusuru lisi-overflow na kuleta floods ama hata dam banks kupasuka na kuleta madhara mabaya zaidi? Je si maafa haya yamesababishwa na hili?
Tano na kama Bwawa la Mtera halipo Wami basin, je hakuna mabwawa mengine ya Umeme ama Umwagiliaji upper Riparian areas kati ya Kilosa na Kongwa/Mpwapwa yaliyofunguliwa maji kupunguza kina na kusababisha floods lower Riparian? Sasa cha ajabu nini kama madaraja yanasombwa na water velocity kubwa?
Hii maneno leo imenifanya nijiulize mara kumikumi? Je JPM aliuliza watalaam wetu wa SUA juu ya hili? Kama hapana jee maamuzi yake yako sahihi? Kusema kweli ndo maana huwa sipendi mob justice ya JPM kuna vitu vinapaswa kuangaliwa kwa kina kwa kiasi kikubwa naweza kuhusisha hili la nne na la tano na ubomokaji wa daraja la mto Kiegeya mara mbili.
To prove this I will prefer a more scientific approach!
mbona daraja temporary lilijengwa? likasombwa na maji tena? au wewe huelewi kinachoendelea? Msikilize Eng. Mfugale! zielezwe na zijulikane sababu kuu kwanza za madaraja kusombwa! Tatizo ni kwamba hata wakiweka daraja lingine temporary kama maji ya mabwawa yanafunguliwa nyanda za juu yatazolewa lazima waliangalie suala hili kwa mapana!Bro what people see is only the Outcome!! Are you serious wiki ya pili hapa Daraja bado halafu ni la Central Corridor, point ni Delays, kwa vile vi Culvert ikija mvua lazima viende. NOTE IF YOU ARE A GOOD WORKER BUT YOU FAIL ON TIME MANAGEMENT YOU ARE ZERO. Note this. The point here is the Bridge and not well stated phrases [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from Gnet Phone using JamiiForums
Until then, by now Kenya is the home of biggest slums in the WorldIn few years time slums will be a thing of the past.
View attachment 1390693
Its good that he acknowledges that fact and he has hopes it will be "a thing of the past"! I hope the slums won't multiply!Until then, by now Kenya is the home of biggest slums in the World
Sent using Jamii Forums mobile app