Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,152
- 107,720
Waone hawa jamaanimepata wazo ninunue yale maland rover defender mabovu kwa 3M afu nipeleke huko kwa almost 2M.. nitafanikiwa kweli?? haya magari nayapenda sana hasa yawe manual
View attachment 1389664
nimepata wazo ninunue yale maland rover defender mabovu kwa 3M afu nipeleke huko kwa almost 2M.. nitafanikiwa kweli?? haya magari nayapenda sana hasa yawe manual
View attachment 1389664
Muwapime vizuri aisee Corona hiyo....! Mbona wasiende Mombasa ama Kisumu ama Eldoret ama Isiolo Airports?
Kuwapima ni moja kati ya vitu muhimu.Muwapime vizuri aisee Corona hiyo....! Mbona wasiende Mombasa ama Kisumu ama Eldoret ama Isiolo Airports?
we sio 2m hapo ni over 4mnimepata wazo ninunue yale maland rover defender mabovu kwa 3M afu nipeleke huko kwa almost 2M.. nitafanikiwa kweli?? haya magari nayapenda sana hasa yawe manual
View attachment 1389664
Vyura gani tena hao baba? Ina maana baada ya nzige kuna jeshi la vyura? Aisee!sababu ya fog
And they'll keep coming
Fog ya ukungu.Vyura gani tena hao baba? Ina maana baada ya nzige kuna jeshi la vyura? Aisee!
Nimekuelewa kaka!Fog ya ukungu.
Mm ninalo wewe manual land cruiser😂😂 landrover mm sizipendi mgurumo wake wakizee sana , land cruiser ina mgurumo wa simba kabisa kaka alaf yananguvu haya vibaya sanait’s still not a huge amount as long as moyo unayapenda haya magari [emoji1][emoji1].. kama hamjui, kuendesha haya magari kwa kutembelea ni mazuri ase [emoji4]
Mungiki washa-note ur plate number siku ukiingia tu Kisumu wanalala nawe sambamba! New year uliwavua nguo mbaya sana!Mm ninalo wewe manual land cruiser😂😂 landrover mm sizipendi mgurumo wake wakizee sana , land cruiser ina mgurumo wa simba kabisa kaka alaf yananguvu haya vibaya sana
Hatari pori kwa pori
View attachment 1389785View attachment 1389788
siendi na hilo mbona wape pole zao😂😂Mungiki washa-note ur plate number siku ukiingia tu Kisumu wanalala nawe sambamba! New year uliwavua nguo mbaya sana!
kaa chonjo mzee hawa jamaa si wakuamini!siendi na hilo mbona wape pole zao😂😂
hawa niachie mm nawajua mpaka rangi za chupi zao😂😂😂😂kaa chonjo mzee hawa jamaa si wakuamini!
Mm ninalo wewe manual land cruiser[emoji23][emoji23] landrover mm sizipendi mgurumo wake wakizee sana , land cruiser ina mgurumo wa simba kabisa kaka alaf yananguvu haya vibaya sana
Hatari pori kwa pori
View attachment 1389785View attachment 1389788