Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Halafu we jamaa umeongea kitu nilichotaka kusema na mimiii aisee bado hii sector, Kwa hili nawapenda wakenya wanajitahidii aisee


Sent from Gnet Phone using JamiiForums
 
Hapo umemnyamazisha kabisa. Atarudi na picha za kibera sasa
 
1.Ina port kubwa kuliko Dar
2.Barabara nzuri kuliko Dar
3.SGR inayofanya kazi unlike ya Dar
4.Ferry zenu "hapa kazi tu" I&II zinaundiwa Kenya.
5. Mombasa vs Dark es sluum

Tuendelee ama tusiendelee 😁
Mbona sijaskia millionares vp🤣🤣🤣🤣🤣
 
1.Ina port kubwa kuliko Dar
2.Barabara nzuri kuliko Dar
3.SGR inayofanya kazi unlike ya Dar
4.Ferry zenu "hapa kazi tu" I&II zinaundiwa Kenya.
5. Mombasa vs Dark es sluum

Tuendelee ama tusiendelee 😁
Meli kubwa Africa mashariii na kati inajengwa mwanza we unaongea ferry🤣🤣🤣👇👇👇
Huku tulishatoka tuko huku
 
Unaitaman dar wakat mwanza iliwatoa jasho😁
mwaswast

Naona kwenye suburbs mwanza ilichapa Mombasa in out🤣🤣🤣🤣 wakaishia kuleta hotels
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…