Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenyans richer but Tanzania home to more millionaires : The Standard
Hahahaha, yote haya ni "Media" za Kenya ndio zinazosema hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa expectations lakini mambo kwa ground ushuzi si hata BRT muli expect iko wapi🀣🀣🀣🀣🀣
Kumbe expected 😁😁😁😁 bado muna ndoto wakat uhalisia huu hapaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
GDP iliojaa ushuzi na madeni ya mchinaπŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡


 
GDP iliojaa ushuzi na madeni ya mchina[emoji1787][emoji116][emoji116]


Kumbe habari ishawafikia huko kwao, ss hawa wapuuzi wa humu mbn wanajitia kuzikosoa hzo takwimu tatizo nn elimu duni ya kufafanua mambo au wivu wa kimaendeleo, hakuna gazeti hata moja la kenya linalopinga hzo report wala hakuna msomi hata mmoja tunayemjua ambaye ameonyesha wasi wasi, ila wasi wasi unaoneshwa na hii misukule ya humu, pathetic.
 
D N A πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unajua bro hawa walijisahau sana wakadhani nchi za east Africa bado ni zile za 90s sasa leo kumekucha ndio wanatafuta shuka 🀣🀣🀣 hawawezi amini miaka minne ya huyu jamaa kafanya maajabu ya dunia mark my words
 
Unajua bro hawa walijisahau sana wakadhani nchi za east Africa bado ni zile za 90s sasa leo kumekucha ndio wanatafuta shuka 🀣🀣🀣 hawawezi amini miaka minne ya huyu jamaa kafanya maajabu ya dunia mark my words
Wanadhani Tanzania ni kama wao ambapo chanzo cha utajiri Kenya ni ufisadi pamoja na rushwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanataka kushindana na Tanzania wakati locust wanawajambisha πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…