Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,034
- 107,532
usiweweseke baba hivi vitu vidogo unaweza ukakuta page ya Mungiki! Kama Rais wa CAF alikuwapo na Super sport waliirusha live huna haja ya kupiga kelele! Hayo mengine ni ujinga mdogo mdogo usioumiza! Hata Rais wa FIFA anatujua!Ila kuna mambo yanakera sana tuna derby kubwa Afrika tunajivunia lkn bdo kuna wapuuzi bdo wamelala sn, haiwezekani mechi kubwa km hii ya leo isipatikane kwny mtandao mkubwa km Live scores, huu ni udhaifu mkubwa sana kwakweli, mara nyingi nmekuwa nikiingia live scores con ligi ya bongo lkn ya wenzetu Mungiki japo haina mvuto lkn wanaitangaza sn hata ukiangalia pale supersport utaona matangazo ya ligi ya kenya, ila hii yetu haya majinga TFF yamelala tu kazi yao kupanga matokeo hamna yanachofanya kuongeza thamani ya ligi, yn yanaturudisha Tz ile ya upigaji.View attachment 1381122
Ukimaliza kuhara utuambie.Mm sipendi uongo kwa mambo yako openView attachment 1381178View attachment 1381179
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππ Taarifa hio inamaanisha Dar ni centre ya wauza Unga duniani π kiingereza noma...are we on ze laiti tlaki bro?Hii taarifa unayo budaπππ
No doubtWestlands and Dar cbd are like twinsView attachment 1381055View attachment 1381056
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa chooboy alijikaranga kama nguruwe na mafuta yake mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Taarifa hio inamaanisha Dar ni centre ya wauza Unga duniani [emoji6] kiingereza noma...are we on ze laiti tlaki bro?
Huoni hata aibu kulinganisha hizo screenshotsYani tower tatu ndio zimewapa kiburi cha kujilinganisha na the mighty Nairobi?.Ndio hiyo Kilimani na kacbd kao kadoo....View attachment 1381123View attachment 1381124
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kuna hadi Kariakoo yenye mitaa zaidi ya 40 nayoHuoni hata aibu kulinganisha hizo screenshots
Hiyo ya Kilimani it's something very zoomed mpaka streets zinaonekana
Hapo chini rafiki yangu kuna kata 3 ( wards ) na mitaa zaidi ya 50+
Kuanzia Posta, Kisutu, Upanga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huoni hata aibu kulinganisha hizo screenshots
Hiyo ya Kilimani it's something very zoomed mpaka streets zinaonekana
Hapo chini rafiki yangu kuna kata 3 ( wards ) na mitaa zaidi ya 50+
Kuanzia Posta, Kisutu, Upanga...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kuna hadi Kariakoo yenye mitaa zaidi ya 40 nayo
Kwahiyo hapo chini utapata mitaa zaidi ya 90+ mzeiya....
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah look at u fool after launching isolated unit now u brag of having ability!
Huoni hata aibu kulinganisha hizo screenshots
Hiyo ya Kilimani it's something very zoomed mpaka streets zinaonekana
Hapo chini rafiki yangu kuna kata 3 ( wards ) na mitaa zaidi ya 50+
Kuanzia Posta, Kisutu, Upanga...
Sent using Jamii Forums mobile app
So, unajisifu auu.....
Soma habari vzr ndani naona kuna point hamujaelewa hapo
Dar kuna ziwa???πππππNimekupa hadi bonus kwenye hiyo map ya Dar kitu kama 40% ni ziwaaView attachment 1381270
Sent using Jamii Forums mobile app
I meant bahari...but whatever is you got my pointDar kuna ziwa???[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nipe tofauti ya maji ya ziwa na bahari!
By the way wewe unazunguka tu hapa na kupost vitu vya kishenzi tu,jibu hii kwanzaNipe tofauti ya maji ya ziwa na bahari!