The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
We hujitambui ndo mana hata huku palikushinda, [emoji116][emoji116]Kwa kweli wakenya mpo mbali kabisa na hatuwezi kuwakuta kabisa,,
Majengo mazuri yote ya kwenye station za reli huku bongo ni kama Majengo ya soko ya kuuzia nyanya, hayana mvuto kabisa, yanajengwa kama ya kizamani,, kweli tunarudi nyuma kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro huwez fanya watu wapuuzi humu we tulia tuπππππHizo building hazipo pamoja hio ya katikati ipo mbali kiasi na hizo zingine maana unavuka barabara ndio uifikie licha ya kuwa ni sehemu ya GTC picha lazima iitoe ikiwa fupi kulingana na ule umbali wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
True hiyo picha tuisachi kwa google image tuone ,kuna mkenya mmoja siku za nyuma alijipost hapa anavinjali nchi za wazungu akafuta sura watu wa jf tz tukamsachi tuka mtumia mipicha yake kibao na mitandao anayo tumia wakenya walilia mwezi mzima hiyo ilikuwa pigo mojawapo lililo wafanya wasusie jf mwezi mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliuliza mwenzako anipe screenshot akashindwa. The pictures I post here I always download and a few are screenshots which means they are found on download and screenshot folders respectively ila yeye anasema picha ilipigwa na camera ya simu.Ulipost hiyo picha kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Niliuliza mwenzako anipe screenshot akashindwa. The pictures I post here I always download and a few are screenshots which means they are found on download and screenshot folders respectively ila yeye anasema picha ilipigwa na camera ya simu.Ulipost hiyo picha kiongozi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Don't you know that's kibera slum? And don't you know the pictures I posted above are your dream houses in middle income estates? Why are you comparing our slums with your middle class estates?
Story ya Mombasa inatokea wapi? I just asked you to show me picha kama hiyo kutoka Nairobi. Kama umeshindwa heri tu unyamazeKwan kibera ni mombasa?
Haaa hivi yule jamaa yupo kweli sikumbuki hata jina lake ,,,,kweli jf ni shule kwa wakenyanaweza kuifanya hii kazi [emoji23][emoji23].. hio picha ya huyo jamaa niliitumaga mim kipindi hiko [emoji23][emoji23]
Kama si wewe ni Nani yuleNiliuliza mwenzako anipe screenshot akashindwa. The pictures I post here I always download and a few are screenshots which means they are found on download and screenshot folders respectively ila yeye anasema picha ilipigwa na camera ya simu.
And even if that was me, why would I deny?
Hapo kwenye wizi, jirani zetu ni watata balaa. Wanaingia benki mchana kweupe na kubeba mzigo.Suala la madaraja wanajua fika kua hawawezi...na hatutaki excuses kabisa !!
Ukitaka kuongea nao lugha moja tuanze kuzungumza suala la kukimbia riadha na wizi hapo Ndio mahali wanatutoa jasho
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuwez admit kwasababu ndio rais pekee Africa kafanya maajabu miaka minne tu mpaka wazungu wanakwenda mbioπππ na hatuwez admit kwasababu ndio the best African president hata kama ni ww uta admit vp???View attachment 1378381
Tanzanians can never admit
[emoji16][emoji16][emoji16]Ameifuta ili atubishie kuwa hakupost [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]We hujitambui ndo mana hata huku palikushinda, [emoji116][emoji116]View attachment 1378155
ReminderI challenge Kenyans here to show me a terminal building that looks like this in Kenya
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096