COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Stima kwanza hamnahaya tusubiri tuone kaka uzuri wetu hua hatuongei sana wala kujisifia 😀😀😀😀
Stima kwanza hamnahaya tusubiri tuone kaka uzuri wetu hua hatuongei sana wala kujisifia 😀😀😀😀
Na sasa hizo dormitory zimejaa kariakoo hapo ndipo unafanyia kazi?Apa ndio wa Kenya tunapo tofautiana yani ww badala umwambie amshauri friend yake ajitaidi ajenge kwake atoke apo dormitory ww unaona yupo lucky kuishi kwenye ma flati ya bweni
Hongereni kwa atua hii moja , ila hii picha kuna ka arufu cha siasaSchool Kids also boarded the train with the First lady with their laptops
![]()
hatuna vp wakat next year munaanza kununua umeme tanzania au huna habari hioStima kwanza hamna
So u don't love it , Do you?This SGR is damn beautiful, Am starting to love it already
![]()
Tumia kiswahili tafadhaliSo u don't love it , Do you?
Saizi mnanunua umeme Kenya na Uganda mnataka electric train...Kenya inaplan ya kujenga nuclear energy then tunaeza electrify railway..hatuna vp wakat next year munaanza kununua umeme tanzania au huna habari hio
😀😀😀😀😀 by 2025 tanzania will generate 10000mw using gas fired plant...stay calmSaizi mnanunua umeme Kenya na Uganda mnataka electric train...Kenya inaplan ya kujenga nuclear energy then tunaeza electrify railway..
2025 pia ndio mtapata railway😀😀😀😀😀 by 2025 tanzania will generate 10000mw using gas fired plant...stay calm
yah cos unemployment is regional disaster.Tanzanians too are affected
hatuna vp wakat next year munaanza kununua umeme tanzania au huna habari hio

dar is becoming very clean...congratsAnother Mixed Use Facility on final touches.
![]()
![]()
![]()
![]()