COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Weka kwa news ya bongo...hapa ni Kenyan news and politicsWasanii wabongo na magari yao yakifakhari
Orodha ya mastaa 12 wa bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi
Weka kwa news ya bongo...hapa ni Kenyan news and politicsWasanii wabongo na magari yao yakifakhari
Orodha ya mastaa 12 wa bongo wanaomiliki magari ya gharama zaidi
Umeshinda ukizipost repost Tena na Tena feelings wachia cocacola
huwa sipangiwi cha kufanya.....nafanya vile ninavyojisikia.![]()
![]()
Fanya hivo Tena tumia ma emoji kabsa
Weka kwa news ya bongo...hapa ni Kenyan news and politics
MZEE WA IPHONE7 una mambo kweli.....naona leo ndiyo umekumbuka misingi
huwa sipangiwi cha kufanya.....nafanya vile ninavyojisikia.![]()
![]()
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Weka kwa news ya bongo...hapa ni Kenyan news and politics
Rudia hizo DDD tena😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
hehehe yakwetu itakua na tunnel kwenye milima inamaana haitapanda juu itakua na interchange 6....stay calm my friend2nd phrase SGR....hii inapita underground at some point wasee....2nd phase to Naivasha imeanza
asanteBigup to Kiba,Diamond and Darassa....I like their music.
Eeh itakua....very good...naivasha tumeanza yenu jee tuma mapichahehehe yakwetu itakua na tunnel kwenye milima inamaana haitapanda juu itakua na interchange 6....stay calm my friend
site na kazi zao wameanza pugu ni mbali na town so siezi kwenda huko nikupigie picha, we tulia utajionea electric train ya kisasa yenye speed of 160 km/hrEeh itakua....very good...naivasha tumeanza yenu jee tuma mapicha
Ivo ndio mlisemaga kwa bagamoyo...site na kazi zao wameanza pugu ni mbali na town so siezi kwenda huko nikupigie picha, we tulia utajionea electric train ya kisasa yenye speed of 160 km/hr
heheh mbona huna raha kaka.....unakosa usingizi hvi....kua na amani 😀😀😀😀😀😀😀😀Ivo ndio mlisemaga kwa bagamoyo...
kumbe unatumia computer (desktop) ya ofisini kwako na internet ya ofisi
kuingia kwenye social networks?.
i will report this to your head of department for quick measures.
haya wahi kurudi kule dandora kabla hujapigwa ngeta na wakora.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahahahahaha...tuko hapa tunategea iyo 2.5 years...ama 2 years and 6 months....tayari 3 months goneheheh mbona huna raha kaka.....unakosa usingizi hvi....kua na amani 😀😀😀😀😀😀😀😀