Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So you feel so proud building things like this and call them a dream house? is that how low your dreams are? View attachment 1374941
Kaka hebu kuwa serious kdg huyo anayeishi hapo kwenye hizo dream houses na bora wapi kuwa serious bac
Screenshot_2020-02-08-13-02-35.jpeg
Screenshot_2020-02-08-13-04-26.jpeg
Screenshot_2020-02-08-13-06-12.jpeg
 
LOL twende mbele turudi nyuma 😆😆😆😆😆

Asante kwa kuonesha cages za Green shit in the slum za watu 0.009% only wa Nairobi 😆😆😆

Sasa hawa 98% tunaondoaje kwenye haya mapango ya kunguni 😂😂😂😂😂😂
Na wenyewe waonje utamu wa broilers in the cages 😆😆😆😆

Mapango ya viroboto 😆😆😆View attachment 1374942View attachment 1374943View attachment 1374944View attachment 1374945View attachment 1374946View attachment 1374947View attachment 1374948View attachment 1374949View attachment 1374950View attachment 1374951
Those are slums and are found in selected areas. Below is a picture of a section of eastlands where the majority live. Hapo kuna part of Donholm, Part of Buru Buru, Umoja, Kariobabgi Sout na Umoja . Niambie slum iko wapi
images(288).jpg
 
LOL twende mbele turudi nyuma

Asante kwa kuonesha cages za Green shit in the slum za watu 0.009% only wa Nairobi

Sasa hawa 98% tunaondoaje kwenye haya mapango ya kunguni
Na wenyewe waonje utamu wa broilers in the cages

Mapango ya viroboto View attachment 1374942View attachment 1374943View attachment 1374944View attachment 1374945View attachment 1374946View attachment 1374947View attachment 1374948View attachment 1374949View attachment 1374950View attachment 1374951
Pwahahahahaaa akirudi nitag nione karudije wakati dozi kubwa
 
LOL twende mbele turudi nyuma

Asante kwa kuonesha cages za Green shit in the slum za watu 0.009% only wa Nairobi

Sasa hawa 98% tunaondoaje kwenye haya mapango ya kunguni
Na wenyewe waonje utamu wa broilers in the cages

Mapango ya viroboto View attachment 1374942View attachment 1374943View attachment 1374944View attachment 1374945View attachment 1374946View attachment 1374947View attachment 1374948View attachment 1374949View attachment 1374950View attachment 1374951
A place of less than 200k people
Sasa njoo uswazi, million kadhaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LOL twende mbele turudi nyuma 😆😆😆😆😆

Asante kwa kuonesha cages za Green shit in the slum za watu 0.009% only wa Nairobi 😆😆😆

Sasa hawa 98% tunaondoaje kwenye haya mapango ya kunguni 😂😂😂😂😂😂
Na wenyewe waonje utamu wa broilers in the cages 😆😆😆😆

Mapango ya viroboto 😆😆😆View attachment 1374942View attachment 1374943View attachment 1374944View attachment 1374945View attachment 1374946View attachment 1374947View attachment 1374948View attachment 1374949View attachment 1374950View attachment 1374951
Na humu wote utakuta wanatumia flying toilets.
 
Nairobi Kuna slums kila kona huwezi kukuta nyumba za maana kama hizo,
Unalazimisha slums utafikiri aliyeweka satellites zake angani tulimpa rushwa 😂😂😂
Slums kila kona 😂 😂 😂 😂 😂
Fikeni hii level kwanza
Screenshot_20191110-143147.png
Screenshot_20190928-002532.png
Screenshot_20191010-012945.png
Screenshot_20190927-224855.png
Screenshot_20190911-142911.png
Screenshot_20190911-143002.png
Screenshot_20190911-130421.png
Screenshot_20190911-130339.png
Screenshot_20190911-142805.png
Screenshot_20200220-155841.png
Screenshot_20190927-225715.png
Screenshot_20190926-044551.png
Screenshot_20190801-135204.png
Screenshot_20190801-135138.png
 
Back
Top Bottom