Issue ya tandale inajulikana bana acha kuzungukazungukahatuwezi fanana ndugu hata kwa dawa. Bado nangoja unionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi outside slum areas View attachment 1370408
Kwnn unaitoa slum au haipo Nairobi? Hzo ndio excuses tunazosema hapa, ondoeni slums kwnz ndo mje tushindane.hatuwezi fanana ndugu hata kwa dawa. Bado nangoja unionyeshe picha kama hii kutoka Nairobi outside slum areas View attachment 1370408
Kitu kinachomake sense zaidi ni Per capita income...
Mfano mzuri ni kati ya SOUTH AFRICA Na NIGERIA
NIGERIA VS S.A. kwanza tu ukiangalia maendeleo interms of infrastructures na mambo mengine yani Nigeria ni chenga tupu lakini ubao unasoma ndio vinara Africa kwa GDP. ....
Kwani hujui hata Morocco tu hamna uwezo wa kuwafikia hata miaka 30 ijayo? Walishasogea sana hao Nigeria yenyewe hawajafikia Morocco
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ni balaa yn wanajisifu mpk kuongoza kuwa na njaa[emoji3][emoji3]wakenya mbumbumbu kweli
Nyumba hzo zinaubora mkubwa sana kuliko zile zenye mabati ndio maana mzungu huwezi kuskia anataka slum dar kwasababu anajua vzr sanaSuch houses and confused planning are only found in Nairobi slums. Outside slum areas huwezi kutana na nyumba kama hizo hata huende hadi wapi. So to me they are just slums ila kwako najua ni dream houses 😂 😂 😂
We don't wanna touch you by the way,gdp means nothing for us..we take care of our people...can you think,GDp of 100 bill + and the locusts keep fu*king you all the way... useless GDp
Dumbest ass ever..kwa hiyo inatosha tu ikiwa inabeba mizigo na abilia hata pesa iliyotumika ikiwa juu tofauti na bidhaa uliyopewa!!!🤣🤣😂😂 But remember, you've been talking about the numbers!!!!..Hiyo chamber moshi inabeba goods and people .and thats all we need .Easy trasportation of goods and services.
Sent using Jamii Forums mobile app
English ni lugha km lugha zingine don't be fool, hata wazungu wkt mwngne huwa wanakosea wanapotumia lugha zetu.Sadly, these are the people we are debating with here. Kweli kazi tunayo
Dumbest ass ever..kwa hiyo inatosha tu ikiwa inabeba mizigo na abilia hata pesa iliyotumika ikiwa juu tofauti na bidhaa uliyopewa!!![emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23] But remember, you've been talking about the numbers!!!!..
Siku hzi hawaitaji tandale tena 🤣🤣
I know his comprehension level is below average. Sometimes it's good to just keep mum and observe things badala ya kupurukukaanaongea kwa sababu hakuna anayemiliki English..au English ni ya nyanya ako??
Hujui kingereza wala kiswahili, tumia kijaluo tuta translate.Ubongo wangu uko fine ..how are your 1000 IQ points helping you.Mkiambiwa simple facts and numbers mnarukatuka like mad people
Sent using Jamii Forums mobile app
Upper middle income wakati hamkopesheki tena?mtalipa madeni au mtajenga nchi mmechagua nn?We are currently at 2270 ..soo by 2021 to 2023 tutkuwa around 2500 ..if growth does not slow down ,by 2030 tutakuwa around 4000 to 5000 usd .Thats the goal of vision 2030 .To become an upper middle income nation
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hivyo wewe mtanzania unajua masuala ya Kenya kutuliko sisi wazawa?
Ichoboy drives you crazy...👆👆👆I know his comprehension level is below average. Sometimes it's good to just keep mum and observe things badala ya kupurukuka
Hujui kingereza wala kiswahili, tumia kijaluo tuta translate.
Hawa wenzetu wako ngapi kwa sasa?We are currently at 2270 ..soo by 2021 to 2023 tutkuwa around 2500 ..if growth does not slow down ,by 2030 tutakuwa around 4000 to 5000 usd .Thats the goal of vision 2030 .To become an upper middle income nation
Sent using Jamii Forums mobile app