Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakina jaguar, amani , sauti sol wamefia wapi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji116][emoji116][emoji116]

Na ndiyo wasanii pekee ambao angalau walikuwa wanafahamika hapa Tz hao wengine ushuzi mtupu hawajulikani huku kwetu
 
Taratiibu utabiri unaanza kutimia [emoji3][emoji3] wameshaanza kuwa wapole, na wameanza kupoteza hamu ya battle heheheheheeee cc tutaendelea kupiga sindano cz tunajua mnaona.
 
Na huwez kupata faida bila revenue🤣🤣🤣🤣
Wewe ni pimbi kweli. Nani huyo alikuambia kwamba as long as you generate revenue then profits are automatic? Is that how you were taught in school
 
More revenues means more profits? 😱 😱 😱 Hivo ndo ulifundushwa? KQ is generating more revenues than ATCL (almost three times) but is still making losses. You can generate a trillion shillings in revenues but make losses still. Kweli nyinyi vilaza
 
Of course hizo nyumba hazina shida na ni nzuri sana because your standards allow that, and that's why they are even called dream houses. In Nairobi, such houses are only found in slums and once you step out of those slums, huwezi kutana nazo hata uende wapi. See? We are living in totally different worlds.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…