The great jay
JF-Expert Member
- Aug 8, 2017
- 635
- 673
uko serious unajudge mtz kwa kupitia battle ya jf narudia soma uzi mwanzo mwisho wakenya wana matusi,wanajigamba na ni wapiga kifua hapa jukwaani sasa na nyie tukiwa judge kuwa mkenya ni mtu wa matusi utachukuliaje io judgment ambayo nimeitoa kisa jfKweli mja hawachi kuelemika.Mimi sijajua mtz akiwa mtu wa matusi,kujipiga kifua na kujigamba.Shida zetuKenya haziwezi kutupatia nafasi ya kujichocha.
Hii thread imekuzidi umri wako, nenda ucheze kwenye zile thread za mikeka ya sport betting na zile natafuta marafiki wa kuchat nao😁😁😁😁Haaa sasa nimeelewa hii thread...ai ....sad to know. Poleni wakuu.
mkuu ulivouliza na the way ulivokuja umekuja kijuaji au ki professional mno ila maswali yako yote uliyonayo n mepesi tu me n viewer mzury wa huu uzi na nlijiunga jf for 1st time kwa ajili ya huu uzi ukitulia na ukiacha ujuaji uliza tena maswali yakoWalikimbia eh?Kwa sababu ya matusi?Boss ukinitusi unafikiri nitatotoroka?Kwanza mimi huwa situsi watu.unanipea facts na reasoned arguments nitakuheshimu(lakini sitakuogopa).Lakini eti unitusi nikimbie....unafikiri ni matusi mangapi nimeyasikia?Ukiangalia hii battle (kwanza ni battle ya nini?) nimeuliza hizi hoja watu wanatoa,zina manufaa gani?Hakuna mtu ambaye amenijibu.Nimeambiwa tu hoo wakenya ni wajuaji,ho sijui wanajifanya hooo sijui .na wale watz wananiambia wananitusi na kujigamba tuuu.Katika hii website ya jf kusema ukweli sijaona discussion ya kuvunja moyo kaa hii...
So boss kama unanuia kunitukana au kunikejeli mpaka nitoroke..umeambulia patupu.Keyboard warriors and online bullies nimeona wengi,matusi nimesikia ya lugha zote,emoji nimeona ya aina zote..na majibu yangu napenda kuongea kama mtu mzima..bila kutukanana au kukosea watu heshima,Matusi na kuongea uchafu hiyo nachukua kama ni aina ya ugonjwa.Na mtu mgonjwa yuataka tu huruma na maombi.so mkuu usinipatie vitisho..
dah mkuu uko too serious tofautisha mtandao na uhalisiaSasa watu wananiambia naongea vibaya na eti hii discussion ina manufaa..Sasa hawa majamaa wawili wakiafrika wanatukanana kwa sababu ya urefu ya milima.Kwani utoto ni nini?Na siulizi kwa ubaya..Milima itafanya waafrika wawili wakoseane heshima namna hii jameni?Milima iliyowekwa duniani na Mola wetu tuwe tunaitazama na kufurahia kazi ya mikono yake?Huu ubaradhuli wote ni wa nini?
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 asvptxHapa watakuonesheni magazeti ya cooked GDP lakini haya magazeti yanayoonesha uozo hawatawaonesha 😁😁😁👇👇👇 the big white elephant ever
View attachment 1368559
Wacha sifa mzee, first class hu-cost hivyo hata hawa jamaa wanajua! 🤣 🤣 🤣 🤣 👆
Did you say aesthetic? Of course nyinyi mko mbele sana kwenye hilo swala. Nyani haoni kunduleswala la aesthetic Kunyaland mpo nyuma sana!
OK boss. Bado hujajibu swali.umeniita tu mjuaji.kwa unyenyekevu naomba tu kujibiwamkuu ulivouliza na the way ulivokuja umekuja kijuaji au ki professional mno ila maswali yako yote uliyonayo n mepesi tu me n viewer mzury wa huu uzi na nlijiunga jf for 1st time kwa ajili ya huu uzi ukitulia na ukiacha ujuaji uliza tena maswali yako
uliza kutaka kugain na kujua vipya usiulize ukiwa umeshajiwekea majibu kichwani
Sent using Jamii Forums mobile app
The best definition of a dream house in Tanzania is this one hereOkay give me the definition of the term "dream house"
Am not defending anything, I am just telling you the bitter truth. Truth that you don't want to swallow. Nairobi has slums and that's a fact. But the truth is that ukishatoka nje ya hizo slums huwezi kutana na ujinga kama hizi (the pic below) ambazo ziko kila mahali Dar. Hata huende hadi wapi huwezi ona hizi takataka Nairobi kama sio ndani ya slumsEti "nje ya slums"..I like your mechanism of defending
Kichomi is surrounded by dream houses hata nafasi ya kupumua hakuna 😂 😂 😂
Rudini Sauzi kwanza ndio muanze kuwa na ndoto za kuja KenyaNairobi tunakuja mwaka huu kuchukua seat za Kq ..mambo kidogo kidogo..China was to start this Feb but ndo hvyo Cv19..
Sent using Jamii Forums mobile app
The only thing they know is that Kibera is in NairobiHehe........these confused tanzanians don't know anything about Nairobi
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣 mm Simo bro wacha niondoke niwaachie bomu Lao liwabutue🤣🤣🤣🤣Wacha sifa mzee, first class hu-cost hivyo hata hawa jamaa wanajua! 🤣 🤣 🤣 🤣 👆
CC: Zigi Rizla Kafrican Depay Teargass Tony254 pingli-nywee komora096 asvptx
Nyumba nzuri sana yako tena zimejengwa kwa matofali na zina kila aina ya huduma za kijamii ona haya Mabanda sasa🤣🤣🤣👇👇👇Kichomi is surrounded by dream houses hata nafasi ya kupumua hakuna 😂 😂 😂 View attachment 1368591